Gari gani zuri ya kutembelea isiyozidi Mil 12?

MR LINKO

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,034
3,479
nataka kujua gari gani zuri kwakutembelea lenye thamani isio zidi milioni 12 maana mi magari sijui vizuri. ambayo nawea ipata show room.
 
Mkuu, gari ni kama nguo, kila mtu anamapenzi na aina yake. Lazima wewe ujijuee unapenda nini ndio uone kwa bajeti uliyonayo utaweza?

Kwahiyo nakushauri, tutajie kwanza aina za magari unazopendezwa Nazo.. Najua umesema hujui magari ila naamini unajua aina flani like, carina, brevis, rav 4 etc etc...

Kwamfano Mimi, Napenda zaidi gari za chini "saloon", napenda pia iwe na turbocharger.. So from hapo nawaza tena iwe BMW, Benz, Toyota, VW, R.R, ford, Nissan etc etc...

So hebu tupe mapenzi yako kwanza yako wapi!!!
 
napenda gari za nissani,benzi,audi piia rav 4 new model maana huwa naona wana dizaini vizuri gari zao..
 
kweli muranno iko poa sana nimeipenda inawza ikawa bei gani. kwa sasa ivi kama ukienda show room
 
Attachments

  • 2015_Nissan_Murano_SV_AWD,_rear_left_side.jpg
    2015_Nissan_Murano_SV_AWD,_rear_left_side.jpg
    171.8 KB · Views: 593
  • GAZ_b8c3ea06681b436d8af41aecdbeb3797.jpg
    GAZ_b8c3ea06681b436d8af41aecdbeb3797.jpg
    90.4 KB · Views: 496
nataka kujua gari gani zuri kwakutembelea lenye thamani isio zidi milioni 12 maana mi magari sijui vizuri. ambayo nawea ipata show room.
Mkuu kwa hali yako ya M12 chukua Carina,Probox Au IST.

Haya mambo ya Murano Rav 4,Harrier,Kluger, mara Rush waachie wenye pumzi ndefu........

FYI Mil 12 Ndo baseline ya kupata kagari ka point A to B aka baby Walker
 
kwa kuagiza unaweza kupata Raum, vitz, wish, airtrek, isis. Uchaguzi wako ulenge hizo.
 
Kimsingi kwa bajeti ya 12m ni vyema uzingatie maoni ya wadau hapo juu Ku opt ordinary saloons na micro hatch backs..la sivyo kama mzuka wako ni hizo SUV yaani rav 4 en the like bas uwe tayari kununua ambazo ni used in tanzania
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom