Gari gani zuri ya kutembelea isiyozidi Mil 12?

Mkuu kwa hali yako ya M12 chukua Carina,Probox Au IST.

Haya mambo ya Murano Rav 4,Harrier,Kluger, mara Rush waachie wenye pumzi ndefu........

FYI Mil 12 Ndo baseline ya kupata kagari ka point A to B aka baby Walker
Kuna spacion kwa 11.5m
 
kweli muranno iko poa sana nimeipenda inawza ikawa bei gani. kwa sasa ivi kama ukienda show room
Ah mkuu hii pichani kwa bajet yako hata uizidishe mara mbili bado hutaiona.

Kama hela ya wese sio ya mawazo sana unaweza pata gari nzuri,maana majini yapo mengi sana kwa bei nzuri tatizo watu wanayaogopa chenji ya wese sio uhakika.

Brevis,Subaru,progress,verosa
 
Back
Top Bottom