Gari aina ya Mitsubishi Outlander 2009

hillman

Senior Member
May 28, 2014
159
45
Jaman wadau, Nahitaj kununua gari aina ya Mitsubishi Outlander ya mwaka 2009 toka japani, nimetokea kuipenda kuliko gari yeyote aina ya SUV hapa mjini, ila sijui kuhusu uimara wake kwa barabara zetu, upatikanaji wa vipuri vyake, upatikanaji wa mafundi wenye utaalamu na gari hizo.

Nahitaji msaada kwa wadau wenye uelewa wa hizo gari.
 
naziona hizo gari, ingawa si nyingi sana.. Kipindi cha nyuma, nilitakaga kuiagiza, nikacheki fundia akaniambia ni pasua ... Sijui kama ni mafundi wote au la... Lakini vilevile naona haiko rugged sana kwa off road , kama iko chini kidogo..
 
Mitsubishi SUV, Saloon cars ni pasua kichwa kwa bongo. Service za uhakika ni Diamond Motors ila service moja kuacha 3 mpaka 4 milioni si jambo la ajabu.
 
Wasikutishe labda cha msingi na kitu cha kuzingatia zaidi hiyo gari ina gearbox ya CVT so inahitaji maintanance ya uhakika sana hydrolic yake iwekwe ili iliyopendekezwa na sio hizi za elfu 10 kwa lita moja..coz ina stapper motor ukiweka tuu hydrolic ya kawaida hapo hapo umesha ua gearbox
 
Na ukichunguza magari mengi sana yanaaza kuua gear box kabla ya engine kwa sababu watu wengi wanatumia hydrolic ambayo haijapendekezwa....mafundi wengi wanawaingiza watu chaka kwa kukariri...utasikia weka Castro ni oil nzuri...
Gari ya cvt mtu anamiminia Castro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitsubishi SUV, Saloon cars ni pasua kichwa kwa bongo. Service za uhakika ni Diamond Motors ila service moja kuacha 3 mpaka 4 milioni si jambo la ajabu.
Sasa hii service, ni kama unanunua gari nyingine kila mara... Hii service ukifanya itakaa muda gani , miaka au miezi kama gari nyingine??? Hiyo ni hatari , kwepa kabisa .
 
Back
Top Bottom