Car4Sale Gari aina ya Alphard ipo kwa ajili ya kuuzwa

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,573
1,344
Alphard ya mwaka 2003
Cc fuel 2360
Mileage distance 70,000km
Right hand stearing
Automatic Transmission
Color........ pearl white
Bei ni Tsh.15.9 milioni.
 

Attachments

  • Screenshot_20190527-101219~2.png
    Screenshot_20190527-101219~2.png
    103.8 KB · Views: 33
  • Screenshot_20190527-101209~2.png
    Screenshot_20190527-101209~2.png
    91.3 KB · Views: 32
  • Screenshot_20190527-101212~2.png
    Screenshot_20190527-101212~2.png
    85.1 KB · Views: 35
  • Screenshot_20190527-101205~2.png
    Screenshot_20190527-101205~2.png
    100.7 KB · Views: 30
Nikitaka kukodisha sikukuu ya IDD tunaenda KISUMU familia ya watu 8 bei gani?
 
Mtumishi wa Mungu joshua_ok anamiliki isuzu bighorn kwa maelezo yake huko nyuma, na aliiagiza moja kwa moja kutoka Japan. Hiyo gari labda ni kwa ajili ya kukodi tu ili asiichoshe gari yake.
 
Mtumishi wa Mungu joshua_ok anamiliki isuzu bighorn kwa maelezo yake huko nyuma, na aliiagiza moja kwa moja kutoka Japan. Hiyo gari labda ni kwa ajili ya kukodi tu ili asiichoshe gari yake.
Mkuu nimekoma ku-drive maana mitochi kama yote niliwahi ku-drive Dar-Karatu nikapigwa faini 30,000×4=120,000/=wakati wa kwenda tu. Kama Alphard itakuwa bei juu bora kukwea mabasi faini zimuangukie dereva
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom