Garca Machel aingizwe kwenye kitabu cha dunia cha Guinness

Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
506
52
Wanajamvi ninashauri Mama Graca Machel aingizwe kwenye kitabu cha watu waliovunja rekodi cha Guinness kwa sababu ni mwanamke aliyeolewa na marais wawili na ni mjane wa marais duniani. Nadhani hii ni moja ya rekodi kubwa duniani. Naungana na wapenda amani na uhuru kuomboleza kifo cha Mzee Mandela.
 
Huyu Mama ana Asili ya wale kina mama wanaotokea kule nanihino hapa nchini kwetu!!!????:shocked:. Maana vibabu vinaanguka tu. Inabidi akaolewe na Museveni kwa sasa.
 
kweli huyu mama kazidi! kapora mme wa mtu
 
Huyu mama ni wa pekee inabidi atafutiwe nchi apewe aongoze hadi ajifie..tumpe Tanzania
 
Huyu Mama ana Asili ya wale kina mama wanaotokea kule nanihino hapa nchini kwetu!!!????:shocked:. Maana vibabu vinaanguka tu. Inabidi akaolewe na Museveni kwa sasa.
Hapo mwisho hapo....panachekesha sana
 
mbona mnawaza mbalì? Hamtaki awe mama mdogo wa riz1? Mzee wa fastjet hata cheza mbali.
 
Wanajamvi ninashauri Mama Graca Machel aingizwe kwenye kitabu cha watu waliovunja rekodi cha Guinness kwa sababu ni mwanamke aliyeolewa na marais wawili na ni mjane wa marais duniani. Nadhani hii ni moja ya rekodi kubwa duniani. Naungana na wapenda amani na uhuru kuomboleza kifo cha Mzee Mandela.

Yupo kwenye Guinness Book siku nyingi sana
 
Back
Top Bottom