Gharama za kuskimu nyumba hii

Sorry mkuu nimesahau na sadobinder ndoo.moja.nje.na ndani na pia.rangi.ya kwenye madali ndoo 2 inaweza ikawa emulsion ya high cover au stone guard au silk white
Kaka hapo tafuta white cement kumi na ndoo za rangi emulsion yan skiming undercoat kumi na mbili na gypsum powder brand andika made in Thailand tano kuhusu rangi za finishing ambazo ndo silk ndoo tatu zinatosha hii ni hesabu ya kwa ndani ,kwa nje white cement tano na rangi za emulsion sita rangi za finishing ndoo.mbili nje zinamaliza hayo magril.kopo tatu.za rangi ya mafuta na solvent litre tano msasa mita 20 nje na ndani kuhusu hesabu ya plasta sinauzoefu nayo maana Mimi ni fund rangi asante karibu kwa huduma call/wasup 0757735884
 
Mkuu umedadavua vizuri..

Swali la ufahamu : Kwa Ndani atumie Wall putty au White cement na kwanini ??
 
Okay mkuu sorry sikuwa online jibu ni hili.hapa wall puty kwanza package yake ni 25 kg wakat white cement ni 40 kg wall putty unachanganya na maji kuanzia coat ya kwanda had ya pili had msasa hutahitaj kutumia emulsion rangi ile ya kuchanganya na maji ili ufanye skiming uzur wa wall putty kwanza bei ni simple 25000 kwa mfuko kwa huku nilipo Mimi mbeya na pia unakwepa gharama za kununua rangi maana inatumia maji tu mwanzo mwisho ila sasa hasara zake ni kuwa wall putty haina bond kali ya kushika kwenye ukuta hasa plasta maana imenyimwa nguvu ni rahis hata kopro kubomoka ukiskimia wall putty kiufup haina nguvu la kushikamana na ukuta Sana lakin pia kwavile packaging yake ni ndogo hivyo utajikuta unatumia vimifuko vingi Sana ambavyo ukipiga hesabu utaona gharama inapishana kidgo na ukitumia white cement, tukija kwenye white cement ni gharama ukinunua mfuko mmoja wa white cement inahitaj pia rangi emulsion ya kuchanganyia kwa ajili ya kuskimia hii inatumia rangi mwanzo mwisho coat zote mbili white cement moja 37000 na ndoo 32000 kwahyo white cement ni gharama LA lakin ni bora kuliko wall putty hiyo matajir wanaitumia kukwepa gharama wakisikia inatumia maji tu lakin sio kwenye ubora white cement ni bora maana ni water proof ndo na ni multipurpose inatumika nje na ndani ya nyumba ukihitaj kuskimu nyumba tumia white cement mkuu usitumie wall putty itakuokolea gharama za mda mfupi ila nyumba haitadumu kwenye ubora utaishia kufanya repair kira mda nadhan umenipata

Kwa kuongezea kuna.material mengi yanayotumiwa kufanya finishing nje ya nyumba changamoto ni gharama zake haya hayahitaj ufanye skiming unapiga juu ya plasta hivyohivyo yanadumu Sana hakuna repair ukiweka umeweka repair yake ni kuibadilisha rangi ya juu Kama umeichoka kuipaka nyingine lakin sio.kukwangua au kubandua hayatoki kabisa kwenye ukuta ukipiga umepiga yanaitwa minart dekor hii ni decorative material Kama conmix changamoto yake ni gharama mfuko wa 25 kg ni 75000 nayo yanatumia maji tu
Okay mkuu sorry sikuwa online jibu ni hili.hapa wall puty kwanza package yake ni 25 kg wakat white cement ni 40 kg wall putty unachanganya na maji kuanzia coat ya kwanda had ya pili had msasa hutahitaj kutumia emulsion rangi ile ya kuchanganya na maji ili ufanye skiming uzur wa wall putty kwanza bei ni simple 25000 kwa mfuko kwa huku nilipo Mimi mbeya na pia unakwepa gharama za kununua rangi maana inatumia maji tu mwanzo mwisho ila sasa hasara zake ni kuwa wall putty haina bond kali ya kushika kwenye ukuta hasa plasta maana imenyimwa nguvu ni rahis hata kopro kubomoka ukiskimia wall putty kiufup haina nguvu la kushikamana na ukuta Sana lakin pia kwavile packaging yake ni ndogo hivyo utajikuta unatumia vimifuko vingi Sana ambavyo ukipiga hesabu utaona gharama inapishana kidgo na ukitumia white cement, tukija kwenye white cement ni gharama ukinunua mfuko mmoja wa white cement inahitaj pia rangi emulsion ya kuchanganyia kwa ajili ya kuskimia hii inatumia rangi mwanzo mwisho coat zote mbili white cement moja 37000 na ndoo 32000 kwahyo white cement ni gharama LA lakin ni bora kuliko wall putty hiyo matajir wanaitumia kukwepa gharama wakisikia inatumia maji tu lakin sio kwenye ubora white cement ni bora maana ni water proof ndo na ni multipurpose inatumika nje na ndani ya nyumba ukihitaj kuskimu nyumba tumia white cement mkuu usitumie wall putty itakuokolea gharama za mda mfupi ila nyumba haitadumu kwenye ubora utaishia kufanya repair kira mda nadhan umenipata
1640027093146.jpeg
 
Jibu ni.hili hapa wall putty utatumia mifuko ming Sana dad kukamilisha skiming sababu.package yake ni 25 kg na ni 25000 kwa.mfuko 1 wakat.white cement utatumia mifuko michache ila packaging 40 kg kubwa kwenye ubora white cement 100% wall putty wamefeli kwenye adhesive strength haina bond Kali inapomoka kizembe Sana white cement ni chuma na ukitaka ujute kutumia wall putty nyumba iwe kubwa alafu fund mason asipige plasta ya kukaanga awe amebalaza tu kibao utajuta usishangae ukawaagizia mifuko 20 asubuh had saa nane unapigiwa simu vimeisha utajuta utajikuta hujakwepa kitu ukipiga hesabu kidgo ukitaka uenjoy kwenye kuvitumia hivyo plasta iwe imekaangwa iko smooth hapo havitaenda ving sana
 
Kaka mkubwa kwanza okoa gharama Kwa kutumia Wallput achana na white cement na gypsum powder....

Nitakuskimia kwa wall put nje na ndani na tutatumia maji kuchanganyia....

Nunua Wallput 31 ndani tutatumia mifuko 18 nje tutatumia mifuko 13

Wastani wa bei ya wall put ni Tsh 23000

Baada ya skimming tutapiga binder hii nunua ndoo 1 kubwa Lita 20

Bei ya Plasta nje na ndani nipe 1.4M

Kwenye skimilming nipe 1 M

Nipigie Kwa namba 0789005562

Popote Tanzania nakufikia

Mtaalamu Wa Finishing kali zenye viwango vya juu vya ubora ....nipo DSM na mikoani nafika

Tunashughulika na Yafuatayo

UREMBO WA KISASA

PLASTA ZA KISASA

SKIMING NA RANGI

TILES

USIMAMIZI WA KAZI

TUPO TEMEKE

CONT. 0789005562

Kwa bei ya kizalendo nitafanya nyumba yako ipendeze na ivutie kwa kazi Nzuri

Au njoo wasap kwa link hii

Https//Wa.me//255789005562
 
Mzee usiangalie kuokoa gharama tu.angalia na ubora wa.hyo wall puty vs white cement fund mzur ni yule anayeyajua material vizuri na unapomshauri mtu usilenge kumshawish atumie bidhaa fulan kisa kuokoa gharama bira kujali ubora wake mambo ya kukurupuka kwenye ujenz yamewacost wengi hyo unayosema kuokoa gharama mwisho inaenda.kwenye kuongeza gharama maana sio kitu.bora mshauri boss materials zote mbili kwa kumpa hasara zake na faida hapo ataamua mwenyewe kwa.kuona.side effect za pande zito mbili
 
Jibu ni.hili hapa wall putty utatumia mifuko ming Sana dad kukamilisha skiming sababu.package yake ni 25 kg na ni 25000 kwa.mfuko 1 wakat.white cement utatumia mifuko michache ila packaging 40 kg kubwa kwenye ubora white cement 100% wall putty wamefeli kwenye adhesive strength haina bond Kali inapomoka kizembe Sana white cement ni chuma na ukitaka ujute kutumia wall putty nyumba iwe kubwa alafu fund mason asipige plasta ya kukaanga awe amebalaza tu kibao utajuta usishangae ukawaagizia mifuko 20 asubuh had saa nane unapigiwa simu vimeisha utajuta utajikuta hujakwepa kitu ukipiga hesabu kidgo ukitaka uenjoy kwenye kuvitumia hivyo plasta iwe imekaangwa iko smooth hapo havitaenda ving sana
Wall Putty ya Kampuni gani wewe ulitumia ikabanduka? Au ulipiga kwenye plaster iliyopigwa pasi? Mimi nilitumia Wall putty ya JK na haina shida mpaka leo, na yenyewe ni white cement based ila ni ghali ukilinganisha na nyingine. Kuhusu kutumika nyingi ni kweli. Utanunua vimfuko mpaka uchoke! Matokeo yake unakuta gharama za white cement vs Wall Putty hazipishani sana.
 
Wall.puty zipo za makampuni ya rangi.Kama gold star na plascon na wall.putty version ya white cement hyo.ndo haina shida ila.hizo zingine zinatatizo

Kwa hyo ukitaka Kuskim kwa jk wall putty ukuta unatakiwa umepigwa plaster kwa mkono bao roughly?
 
Wall.puty zipo za makampuni ya rangi.Kama gold star na plascon na wall.putty version ya white cement hyo.ndo haina shida ila.hizo zingine zinatatizo
Sawa,
Kwa hiyo wewe hii nyumba aliopost mshikaji unge skim Kwa bei gani jumla? Tufanye Ina plasta tayar
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom