Gharama za kuskimu nyumba hii

emanoti415

Member
Jul 20, 2018
34
16
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, public toilet, dining, sebure na stoo . Ina urefu wa 10.6m na upana wa 9m, vyumba vyote vinaukubwa wa 9 sqm. Naomba mchanganua wake, gypsum powder zitahitajika ngapi, rangi ya naji nyeupe ndoo ngapi, white cement kwa skimming ya kuta za nje ngapi, whether guard ndoo ngapi na silk ndoo ngapi, naomba kuwasilisha. bila kusahau gharama za plastering ndani na nje.

IMG-20210914-WA0010.jpg
 
Kama unataka ku save gharama ya skimming nje ..unaweza ukaskim kwa kutumia cement badala ya porder, au izo wall puty
 
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, public toilet, dining, sebure na stoo . Ina urefu wa 10.6m na upana wa 9m, vyumba vyote vinaukubwa wa 9 sqm. Naomba mchanganua wake, gypsum powder zitahitajika ngapi, rangi ya naji nyeupe ndoo ngapi, white cement kwa skimming ya kuta za nje ngapi, whether guard ndoo ngapi na silk ndoo ngapi, naomba kuwasilisha. bila kusahau gharama za plastering ndani na nje.

View attachment 2063628
Binadamu mnapenda kutafuta show za ajabu ajabu tu. Kwani uko kwenu hakunaga wataalamu wa kufanya kazi hii!
 
Tafuta fundi akupgie hesabu! Naona bati zishapauka kbla ya nyumba kuisha.
Hivi watu hua hamjua maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.
 
Binadamu mnapenda kutafuta show za ajabu ajabu tu. Kwani uko kwenu hakunaga wataalamu wa kufanya kazi hii!
Hivi watu hua hamjua maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.
 
Vijana mnaoishi kwa shemeji zenu au anko zenu mna wivu wa kike sana. Mkuu achana nae wanakaa vyumba vya uani
 
Kaka hapo tafuta white cement kumi na ndoo za rangi emulsion yan skiming undercoat kumi na mbili na gypsum powder brand andika made in Thailand tano kuhusu rangi za finishing ambazo ndo silk ndoo tatu zinatosha hii ni hesabu ya kwa ndani ,kwa nje white cement tano na rangi za emulsion sita rangi za finishing ndoo.mbili nje zinamaliza hayo magril.kopo tatu.za rangi ya mafuta na solvent litre tano msasa mita 20 nje na ndani kuhusu hesabu ya plasta sinauzoefu nayo maana Mimi ni fund rangi asante karibu kwa huduma call/wasup 0757735884
 
Back
Top Bottom