Garage Party Paty Two, Vijana usije kuoa msichana ambaye ujawahi kufanya naye mapenzi.

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Kwa wale wanao kumbuka Garage party party one, watakuwa walifurahi sana kwa nondo zangu za ukweli na zisizo na chembe ya shaka. Leo vijana nakuja na hili,

Seriously, Usioe mwanamke ambaye ujawahi kumdoo (First sampling) kwa sababu zifuatazo,

1. Baadhi ya wasichana wana Offensive K, pindi akivua nguo zake abaki kama amezaliwa Looh!!! Mwenekano wa chumba chumbani chote ubadilika. Unaweza kuhisi labla mtoto wa kenge anachungulia.

2. Baadhi ya wasichana wana loose K kama za mbwa koko wa kule kwa mtogole, pindi ukisubiria mpaka wedding night yako, utakacho kiona sijui hata nielezee vipi.

3. Baadhi ya wanawake huwa wanalala kitandani kama viroba vya mbolea wakati wa kudadavuana, Hamna excitement, hamna mastyle kama utamuoa msichana wa namna hii, kwa hakika utatoka njee ya ndoa yako kwenda buguruni au masakuu mbagala.

4. Baadhi ya wasichana awaridhiki, japo utaenda round ya kwanza, pili, tatu bado atakuuliza nini umefanya, au umechoka mimi bado bhana. Kijana kama utasubiri mpaka usiku wa harusi yako, umpate wa namna hii maisha yako ya kuishi ayata fika mbali

5. Baadhi ya wasichana wana spiritual husband, ambao wana wasatisfy them. Katika mambo yetu yale wama shaking na kupiga makelele " Uwwwwiiii Ufyattaaaa Wambolooo!" Kwa hili moja nina uzoefu nalo mimi mwenyewe.
Looh! Kuna msichana moja alinitoleaga mimacho kama mbuzi anachijwa huku akifyoka kama mapaka yakiwa kwenye mambo yao yale, ilibaki kidogo tu nile kona ila nikajikaza kisabuni. Kama utasubiri ukutane na wa namna hii, maisha yako ayata kuwa the same again.

Asiye sikia la mkuu uvunjika guu, lisemwalo lipo kama alipo laja na mdharau mwiba siku zote umchoma.
 
Mbona wanawake wanasemwa vibaya hivyo sasa ukimkuta hivyo huwezi kumtengeneza au kumweka vizur?ala ujapenda wewe chongo ukasema kengeza.
 
Garage party 2 naona imekuja kivingine kweli, nilikuwa naisubiria kwa hamu, Ahya wafunde na wafundike barabara
 
Ndio umekutana na chache hivyo? Uko slow sana. Ziko za aina nyingi sana hujazijua,hebu ongeza speed ili ufahamu hata robo tu ya maumbile adhimu ya wanawake.
Usichokijua ni kwamba wote hao wameumbwa na Mungu na yeye ndio mbora wa waumbaji.
Mwenye staha na atulie Mungu atampa wake anayemstahili na atafurahia uumbaji.
Hao unaowabeza kuna wanaowatafuta.
 
baadhi ya wanaume wanatumia mkuyati
kuongeza ukubwa wa vifanyio so wadada
msisubiri siku ya ndoa (2)baadhi ya wanaume ni wachafu
hata kupiga mswaki ni shida achilia mbali harufu ya mwilini
(3)baadhi ya wanaume hawana lolote on bed zaidi ya
ingiza,toa,maandalizi ziro!!(4)baadhi ya wanaume ni vibamia so wadada tutest b4 ndoa!!
Heaven on Earth na Husninyo endelezeni hapa,maana wao wanajiona malaika mfyuuuuuu mxiuuuuu zao!!
 
Last edited by a moderator:
baadhi ya wanaume wanatumia mkuyati
kuongeza ukubwa wa vifanyio so wadada
msisubiri siku ya ndoa (2)baadhi ya wanaume ni wachafu
hata kupiga mswaki ni shida achilia mbali harufu ya mwilini
(3)baadhi ya wanaume hawana lolote on bed zaidi ya
ingiza,toa,maandalizi ziro!!(4)baadhi ya wanaume ni vibamia so wadada tutest b4 ndoa!!
Heaven on Earth na Husninyo endelezeni hapa,maana wao wanajiona malaika mfyuuuuuu mxiuuuuu zao!!

heheeheh!!! mie ningeongeza ila kuna mods siku hizi wanannifatilia sana, hawachelewi kudelete posts zangu. ngoja tu ninyamaze ila wanakeraaaa!!
 
Aisee ebu acha kuwanyanyasa dada zetu huo ni unyanyasaj wa kijinsia........acha upuuz bana.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom