Garage nzuri ya kunyoosha bodi -Dodoma

Kuna wachina wapo maeneo ya kizota kure wazuri sana au kama unataka mbongo ni PM nikupe namba!...Au ulizia garage ya Nduvini Auto but jiandae!!...
 
Meriwa kwa rumisha kuna garage, kuna dogo anaitwa Rajabu. Maili mbili opposite na kanisa la k ndege kuna garage nyingine ulizia chalii mmoja anaitwa Mushi, nae ananyoosha na kupiga rangi vizuri sana.. if at all you cant afford wachina na hao nduvini
 
Vipi wachina wana bei kubwa sana au ni reasonable
 
Sho ya mbele ndo imeharibika sana, ila taa zipo fresh zinawaka, afu roof imebonyea bonyea.
 
Nimeona gar niilete dar, na ndo imeingia ucku huu, naombeni anayefaham garage nzur ya, kushosha bodi.
 
Back
Top Bottom