GARAGE nzuri kwa kupaka rangi za magari

Gomic

Senior Member
Dec 8, 2012
102
30
Wadau, ninagari yangu nataka kurepair na kurudishia rangi.Naomba msaada wa kujua gereji nzuri kwa kurudishia rangi ya gari kwa dar es salaam.
 
Kuna jamaa alinipigia rangi gari zangu mbili dahh ni noma. Alizitoa bomba sana hivyo kama unahitaji naweza kukuunganisha nae.

Nitashukuru ukiniunganisha naye kwa kunipa contacts zake.
 
Mkuu pia nenda kwenye garage za wachina wanaitoa kama ilivyokuwa kwa manufacturer!
mimi mwenyewe nataka kuipeleka gari yangu huko.
 
Mkuu sijafahamu exactly price iko vipi ila kwa taarifa nilizonazo ni kwamba wana bei ya juu kidogo ila ngoja niende nipate bei zao.
 
Naomba msaada kwa Arusha ni garage gani wanabadili rangi za magari vizuri. .. pia napenda kuuliza kama gari kwenye kadi imeoneshwa silver halafu nikabadili rangi nikaweka blue kuna tatizo?
 
unaenda tra watakubadilishia kwenye kadi kwa gharama ya 10,000/= kama haijabadilika.
 
tttrautoupgrades huyu ukitaka hata gari yako aibadili mwonekano ionekane ya kisasa yumo
 
Kwa tayota IST (nyeusi)
- inaghalimu TZS ngapi?
- Inachukua siku ngapi?
Sorry nilipewa burn hivyo sikuwa hewani.
Toyota IST ukiileta utaipata utaipata baada ya siku moja. Gharama zitatofautiana kulingana na rangi utakayoitaka.
 
Back
Top Bottom