Garage ipi nzuri kwa wheel balance & alignment?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,040
Wakuu salama?

Nipo dilemma hapa nataka kufanya wheel balance & allignment. Kuna THE WHEEL na EVOLUTION watu wanaziongelea sana kwa haya masuala.

Wapi wapo vizuri kwa wataalam mliowai zitumia hizo garage kwa car service,? Nipeni mwongozo kdgo
 
Siyo kila swali utapata jibu hapa au kila tatizo utapata suluhu. Tumia akili yako mwanangu
 
Back
Top Bottom