Garage bora kwa kunyoosha bodi za gari dogo gx100

Lughe

Senior Member
Oct 26, 2010
116
19
natanguliza shukrani.

wanajamii nawaombeni msaada kujua wapi naweza pata huduma ya maintenance and repair gari
dogo gx100,wife kaparamia ukuta mlango wa dereva umebonyea na umejam haufunguki kwa nje.
na sehemu kidogo ya bonet imebonyea kwa kuangukiwa na tofali.
Itakuwa vema sana katika maelekezo yenu mkiainisha na makadirio ya gharama za matengenezo.

nawasilisha.

nyuma ya tbs, ingilia pale kwenye daraja sam nujo

Pole sana ndio ukubwa huo,jaribu pale kinondoni Biafra ingia ka mtaa ka moja kwa moja ulizi fundi Dokta au Kennedy! Pale wanakopaka gari rangi!

Back
Top Bottom