Gap gani ya umri ndo safi kwa wapenzi especialy unaetegemea akuoe/umuoe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gap gani ya umri ndo safi kwa wapenzi especialy unaetegemea akuoe/umuoe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Toria, Sep 11, 2012.

 1. Toria

  Toria JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Nna miaka 26 binafsi nnahisi nna tatizo coz mind set yang inanambia mwanaume anenifaa ni mwny umri wa miaka 28-32 but kuna mvulana ananiaproach phyisicaly amequalify vigezo vyangu vyote but when it comes to age namwona mdogo coz amenipita miezi 4 tu,wasiwasi wangu ni huko mbeleni,kiukweli sijisifii am very smart gal(critical thinking),nnapenda struggle,kujituma shortly am grown up siendekezi usistaduu kwenye maisha japo najipenda but this guy namwona sio mchakarikaji kwenye maisha he count himself like a young boy not like a real man,pia ana inferiority flan both we have a degree kuna kipindi mimi nkaanza kusoma CPA akawa down kabsaaa akihisi ntakuwa in a better place than him ss nnachowaomba mnishauri je mtu kama huyu tutacop mbeleni?au je mimi ndie mwenye tatizo la high expectation toward my partner?an is it right for hubby and wife to follow under the same age??????????

  Naombeni ushauri lakn mnionee huruma kweny lugha za matusi wajameni
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kazi ipo.

  Sijui hata nisemeje, ila kama mapema hii ushaanza kuona mawenge basi kuna walakini.

  Si lazima kuwa hakufai, ila ????!!!!!!

  Ila mie kwa mtizamo wangu, tofauti umri muhimu, ina ladha yake kwa kweli.
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Piga chini mapema. Hakufai
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Kama utaki tatizo wala usumbufu wowote Muumbe wewe mwenyewe Mwanaume unayemtaka. Simple & clear.
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Afadhali aisee, maana naona mleta mada ana "dharau"kiasi fulani
   
 6. Toria

  Toria JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nahis age matters lkn nkahisi pengine nakosea
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Mimi nashindwa hata kuelewa Degree na CPA sijui zinahusika vipi katika kanuni namba moja ya kumfikisha Mwanamke kileleni? hawa wanakuja kuyatambuwa makosa yao wakishafikisha miaka 35 mpaka 40 na hapo Wanaume karibu wengi wanaopaswa kuwaowa either wanakuwa na wake zao au wapo kwenye serious relationship matokeo yake Degree zao zinaishia kuvinunuwa viserengeti boy a.k.a Baroteli kwa ajili ya kuwakuna nyegez zao.
   
 8. Toria

  Toria JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Sina dharau lkn kama huo kwako ndio ushauri basi nawe pia nikushukuru kwa kuchangia
   
 9. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Miaka 20
   
 10. mwathu

  mwathu JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mume bora anatengenezwa kama ilivyo kwa mke bora, huwezi kwenda mtaani na kukuta right man/woman anaemeet requirements zako exactly, so take time mzungumze coz mapungufu mengine yanatokana na malezi ya familia zetu coz mara nyingi familia duni au za kipato cha wastan watoto wao huwa wachakarikaji mapema kuliko familia bora. But all in all angalia upendo wako na level ya ushawishi wa kum-badilisha awe vile upendavyo.


  Wish luck
   
 11. Toria

  Toria JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kwangu ni kitu cha kawaida sana na ndio mana nkawa suprized mwenzang anastresika navyo and thats why nnajiuliza ana mtazamo hasi au bado utoto?sipati jibu
   
 12. Toria

  Toria JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  U are super adviser mwathu,tnx
   
 13. Toria

  Toria JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  40 somthin?This must be a joke...
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Think Big mimi Matola ni Form Graduate na sijawahi kuona tatizo au kukwazika kwa lolote kutoka kwa wenye Madegree yao au hayo Maphd instead nimekuwa useful sana kwa wengi wa walionipita miaka waliyokaa madarasani, kwa kuwasaidia vitu ambavyo ambavyo ni more Professional na nadhani hata wewe itakupa tabu kuamini kwamba mimi ni Form Four Graduate.

  Kwenye Mapenzi anafahamu hakuna Mwanamke ambaye angependa awe na mwanaume goigoi ambaye Mwanamke hajisikii kuwa yuko safe, lakini lazima ukumbuke love is all about sacrifice, wewe una nafasi ya kushauliana na mwenzako na umpe nafasi yake as a Man na ajisikie kweli yeye ndio Mwanamume, some haya makaratasi yanayoitwa Awarded Certificate huwa yanaaribu wanawake wengi sana bila kujielewa na kuwasababishia Wanaume wasiojiamini kuwa na Inferiority complex.

  Tena una bahati leo nina mood nzuri huwa sipendi kudiscuss mapenzi wakati nina mambo muhimu, lakini nakupa tip moja uizingatie, huo umri ulionao ndio umri sahihi kwa mwanamke ambaye unaweza kukutana na Mwanaume ambaye bado hajaoa au hayuko kwenye commited & serious relationship otherwise subili ukutane na watoto wa mjini wakupe kibendi uzae na biashara inaishia hapo. kuna Wanaume kamwe over their dead body hawawezi kuoa Mwanamke ambaye amezaa na mtu mwingine. take it for today inakutosha.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  umri una ladha yake lakini sio core ingridient ya mapenzi.

  Mwanamme anaweza kuwa mdogo lakini anakuwa kakomaa kiakili kama mzee za miaka 50, utamwacha??

  Kuchagua mpenzi si kama nguo ya shughuli (sare) kusema nguo nayotaka lazima iwe ya kijani, basi hata ukute nguo inayokutosha yenye miraba ya kijani na njano huitaki.
  Mapenzi ni kubalansi vitu tofauti tofauti kwa kiasi ili muweze ishi pamoja na kufurahia.
   
 16. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakati mko mabibo anakutoa out yote hayo huku yaona leo umeanza kupata faida unamuona mchovu....bila shaka hata wakati wa mitihani ulikua una kuladesa kwakwe....Amakweli T-BAG alisema....IF I KNEW YOU PEOPLE YOUR PART LIKE THIS I WOULDNT EVEN TRY TO..............
   
 17. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Oooh yeah!!am the right one for you!!nothing more.
   
 18. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umri sio ishu kubwa sana kama kweli wewe unampenda na vigezo vingine vya muhimu anavyo!
  Kumbuka ni vigumu kumapata mwanaume mwenye vigezo vyote 100% uvitakavyo.Cha muhimu mapenzi yapo? mengine ni nikuvumiliana tuu!Ukumbuke pia una umri wa miaka 26 na inazidi kusogea....
   
 19. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Njoo kwangu nina miaka 29 serious natafuta msichana wa kuoa
   
 20. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,138
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Kama amesuit vigezo vingine vyote kasoro icho cha umri tu,go ahead mumy kwasababu ni vigumu sana kumpata mtu aliye na vigezo vyote unavyovihitaji.wanasema age aint nothing more than a number.
   
Loading...