Gaddafi King of the Kings.
akifanikiwa kujibadilisha hivyo, anaweza kuishi pale tripoli na NATO wasimjue.
Halafu kuna mahali hapa tz akijakuishi siyo rahisi watu kumshtukia....akienda kuishi sanju juu itakuwa magoli ile mbaya.Anaweza kuhamia kabisa London na akaishi bila matatizo yoyote.
Na akishindwa kabisa, basi hata Greeceland na huko, yeye na mihela yake wanampokea kwa mikono miwili. Hata Tanzania akija, mtampa tu makazi yeye na familia yake na wakati huo, mradi wao ukibaki kuwa Bahari Beach Hotel na ile mingine iliyopo Kenya, Uganda nk.
Halafu kuna mahali hapa tz akijakuishi siyo rahisi watu kumshtukia....akienda kuishi sanju juu itakuwa magoli ile mbaya.
KWA SABABU KUNA MASHAMBA YA NGANO KULE, itabidi tumpe kazi ya kwenye mashamba ya ngano ya TBLSanya Juu siyo? Huko Milimani na mawingu hayo, hata Satelite hazioni ndani. Hata kama ni kweupe, ila migomba na mikahawa ni kasheshe.
<br />and killer of killers
mmhhh kazi kweli kweli ..
Gadalf si alikufa huyu akafufuka tena katika....