Ganddalfi - The Lord Of The Rings

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Ganddalfi - One Ring To Rule Them All.

attachment.php

Ganddalfi.jpg
 
akifanikiwa kujibadilisha hivyo, anaweza kuishi pale tripoli na NATO wasimjue.
 
Anaweza kuhamia kabisa London na akaishi bila matatizo yoyote.

Na akishindwa kabisa, basi hata Greeceland na huko, yeye na mihela yake wanampokea kwa mikono miwili. Hata Tanzania akija, mtampa tu makazi yeye na familia yake na wakati huo, mradi wao ukibaki kuwa Bahari Beach Hotel na ile mingine iliyopo Kenya, Uganda nk.

Halafu kuna mahali hapa tz akijakuishi siyo rahisi watu kumshtukia....akienda kuishi sanju juu itakuwa magoli ile mbaya.
 
Sanya Juu siyo? Huko Milimani na mawingu hayo, hata Satelite hazioni ndani. Hata kama ni kweupe, ila migomba na mikahawa ni kasheshe.

KWA SABABU KUNA MASHAMBA YA NGANO KULE, itabidi tumpe kazi ya kwenye mashamba ya ngano ya TBL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom