Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

Na hiyo je?

Screenshot_2018-10-12-19-59-15.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa watu wanaopenda kucheza mpira wa mipango na burudani, FIFA ndio sehem sahihi kbs kuonyesha ufundi na uwezo, PES tuwaachie wakimbiaji na wasiojua kupiga pass bila kushika direction
 
Yeyote anaesema PES ni bora kuliko FIFA huyo sio gamer aiseeee kwanza wengi mnacheza game kwenye pc tulishahama uko ndo maana mnaikubali PES
 
Yeyote anaesema PES ni bora kuliko FIFA huyo sio gamer aiseeee kwanza wengi mnacheza game kwenye pc tulishahama uko ndo maana mnaikubali PES
kikawaida kidunia gamers wasio na hela (low end gamers) wananunua console sababu ni bei rahisi, na wale gamers wanaotaka best experience wanakuwa na pc.

mkuu console unacheza game hd kawaida tena fps 30 ikizidi sana ni fps 60,

kwenye pc games hadi 4k, na fps zaidi ya 100, hela yako tu kutafuta gpu na monitor nzuri ku enjoy quality.
 
Back
Top Bottom