Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

Capture.PNG
 
Wamezoea magemu ya kiwango cha chini...hawajacheza fifa ya kiwango cha ps4 na xbox 360
PES v FIFA? Unashindanisha PES na FIFA? Mbaya zaidi unakuja kusema PES ni wazuri kuliko FIFA, bahati yako umesema kuwa ni mtazamo wako.
 
Me nitabaki fan wa FIFA siku zote hata kama hakuna UEFA
Pes wenyewe wanazingua karibu Team zote kubwa hazina majina yao halisi. hawa jamaa pes hawana leseni kwa team nyingi
Fifa ndo mpango mzima FIFA 18 inaendelea Journey Hakuna kutoka nje mzee
Uefa ipo kwenye fifa 19, hakuna kutoka nje
 
Sorry naweza cheza fifa au pes 2018??

Ram 2Gb
HDD 500GB
Processor intel duo??
 
Fifa 19 ni upuuuzi gani?tokea siku nyingi mwanangu ananiambia nimnunulie PS4 Sijui video games.I hate video games ni kama madawa ya kulevya yanalemaza nguvu kazi.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom