Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

wakuu, habari zenu...

Kwa upande wangu fifa ndio itabaki kuwa game bora kwangu. Nilianzaga kucheza FIFA 94, hadi sasa nakipiga na FIFA 14. PES sijaikubali naona uongo mwingi graphics mbaya.

Jambo lingine wakuu natumia PC yenye uwezo mdogo ambayo ina run vizuri sana FIFA 14 shida ni kwamba squad zangu ni za kitambo mno ninaomba mwenye kuweza kunisaidia kupata squad mpya za usajili wa juzi kati anielekeze. FIFA yangu ni ya kuinstall.

Nitashukuru.
 
Kama kuna mtu amenunua FIFA 18 anataka challenge online, PC version nipo hapa ani pm, au areply tafadhali. Au ani add as a friend kwenye origin my id:kirondoma
 
Fifa ni game zuri zaidi hasa katika kufunga magoli akili nyingi inahitajika siyo sawa kulinganisha na pes .pes kuna wachezaji wakikupita tu kama messi au Ronaldo ni 95% kwamba linaenda kuwa goli lakini kwenye Fifa ni ngumu sana hata kufunga magoli kwenye PES ni rahisi sana ukilinganisha na FIFA ivyo kwangu gemu bora ni Fifa.
 
Msaada tafaghali namna ya kutumia wireless ps 3 controller kwenye pc ....naitumia kwa kupitia usb...nikitoa usb nayo inatoka....je nawezaje itumia kama wireles
 
Msaada tafaghali namna ya kutumia wireless ps 3 controller kwenye pc ....naitumia kwa kupitia usb...nikitoa usb nayo inatoka....je nawezaje itumia kama wireles
Pc yako ina bluetooth? Kama haina kanunue ile USB bluetooth kama 5000 hivi.
 
Kirangi Paul:
Nna pc ina ram 8gb
Processor core 5
Cpu speed n 2.5,,,,je ninaweza cheza fifa 18 au pes 18
 
Back
Top Bottom