Game ya euro truck simulator

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,853
1,521
Heshima kwenu

Wakubwa nilikuwa nahitaji ETS kwa ajiri ya Ps2 vipi hili litawezekana au game hii ni kwa ajiri ya pc na kama hamna je naweza kupata game inayofanana na hii.
 
Hii kitu ninashda nayo kama hela, sababu pc yangu ina uwezo mdogo xana ila nina ps2 nadhani hii itawezekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom