Game unazo weza kucheza bila graphic card hata kwenye dou core

Njia nyengine ni kuangalia cpu yako imetoka lini, mfano c2d ya 2009, basi almost games zote 2009 kushuka unacheza.
Shukran sana mkuu kingine kwangu meme uwa nafaham kuanzia 3gen adi 7gen tunaweza kuply game mpka za mwaka 2013 sijui ni mapinduzi gani yalfanyika hapa ila game za mwaka 2014 ni shida sana kuplay without graphics card...

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom