Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Kwani yupo nchini??vipi baba riz naye anasemaje juu ya hawa wawekezaji..
Kwani yupo nchini??vipi baba riz naye anasemaje juu ya hawa wawekezaji..
Sasa sisi wananchi tukaibe wapi?Chain ndefu sana,
Wafanyakazi wanawaibia Makaburu,
Makaburu nao wanawaibia TRA,
TRA nayo inakuja kuwaibia Wananchi,
Multiplier effect inafanya kazi
sidhani kama ni lazima utumie EFD tu ndio uwe unaweza ku-capture all sales; hizi EFD ni dili la watu
the Game inventory system can do that
Chain ndefu sana,
Wafanyakazi wanawaibia Makaburu,
Makaburu nao wanawaibia TRA,
TRA nayo inakuja kuwaibia Wananchi,
Multiplier effect inafanya kazi
Tena wana kamtindo kamoja ka wizi; pale GAME unaeza nunua kitu cha Tsh. 400,000 kwa Tsh. 200,000 - 250,000, unachotakiwa ni kugawana huo wizi na mfanyakazi anaefanya huo mchezo..unampa kama Tsh. 50,000 - 100,000; kwavile wahudumu ndio wanaoandika risiti ya bidhaa kabla haijalipwa kwa cashier, inakua rahisi kwao kufanya huu mchezo. Michezo ya namna hii ni very common pale...jambo la ajabu kabisa ile supermarket haina security cameras (kwa mujibu wa wafanyakazi hao) ndio maana wanaweza kujiamini kufanya michezo hiyo...

Game wakitaka mambo yao yawanyookee na wasiandamwe na TRA, wampeleke JK Johanessburg wakamnunulie suti kama walivyofanya waarabu.
Wewe bana kwa uongo umezidi sana kila kitu kikiongelewa humu JF, na wewe unajifanya umeishawahi kufanya acha kamba kijana, kitu gani umenunua pale Game weweunachosema ni kweli mkuu mm mwenyewe nlikwenda kitu kinauzwa 140000 nkaambiwa kama una elfu80 nkasema elfu70 gafla jamaa akaenda kwa meneja nikapewa mzigo,maduka yote hata mr Price wanahuo mchezo!

Kamishna wa TRA akiamua kujitoa kafara, anaweza kumfungia yeyote na sheria imempa nguvu kubwa sana. Anaweza hata kuzuia akaunti yao ya benki au kuwanyang'anya leseni kabisa na kuwaachia uhamiaji wamalizie ya kwao.

remember that you are in the corrupt system of government from the president to the office attendant. so it will not work out ata wafanyeje.
kwanza ukumbuke ile kashfa ya shimbo iliibuliwa south africa baada ya bigbro kwenda kutembeza bakuli la matonya. jamaa wakamkatalia sababu msaada anaoomba ni mdogo mara sitini ya personal acount ya shimbo.
so those guys of south they know ngoja hali itulie watafungua tuu na efd utaziona kama zilivyokuwa mwanzo. mkuu najua that time atakuwa ameshanunuliwa boxer and acompanied pants.
Hii ni kweli kabisa, mimi nimebakiwa na non-stick baking pans zenye kutu wakati zilionyesha ni non- rust.Nunua vifaa hapo at your own risk(kama vimetengenezwa SA)
Vingi ya vifaa hivyo ni rejects kutoka maduka ya SA
Nina tochi,lawnmower na vitu vingine ambavyo vimeharibika baada tu ya kuvitumia muda mfupi, nao hawataki virudi kwao
Buyer beware!!!

Shoprite alikuwa na maduka 8 sasa kabaki na matatu tu nchi nzima, sector ya service ndio inayotegemewa kukua sasa manake maduka makubwa pia urahisisha upatikanaji wa vitu kwa wananchi na machache yalioanza yameleta tofauti kubwa na hata uswahilini kwetu watu wanadublicate huduma hizo na mambo yanakuwa poa.