Kiwangwa Son
Senior Member
- Nov 29, 2018
- 178
- 115
Nataka inayotumia hotspots sio data..
Kwa anaejua wakuu
Kwa anaejua wakuu
hii naifaham, nilikua naulizia racing game inayoweza kutumia mfumo kama huuDream league soccer. Ila mtahitaji simu ya tatu. Au device yeyote yenye hotspot. Data hamtotumia. Muhimu wachezaji wote muwe mmeunganishwa na network moja.
hizi ni racing au zinahusu nin?Hakuna
tafuta pubge au free fire
ndio yani mfano kwa dream league soccer, mnakua watu watatu alafu mmoja ambae hana bando anawawashia hotspot mnashare nyie wawili mnaocheza..Offline halafu hotspot? Nimekanganyikiwa
ni vyovyote tu mkuu unavyoona, naomba nitajie basi hizo game za aina hiyo.. Nazungumzia android games sio pcUsiseme hotspot sema local network au multiplayer LAN
Nimekusaidis tu kifikisha ujumbe ueleweke vizuri, wenye majibu watakupani vyovyote tu mkuu unavyoona, naomba nitajie basi hizo game za aina hiyo.. Nazungumzia android games sio pc
shukrani kiongozi ✊Nimekusaidis tu kifikisha ujumbe ueleweke vizuri, wenye majibu watakupa
Ni racing hii mkuu?Pubg kali sana inabid tutengeze clan yetu pale ya wa tz
riptide gt mpaka watu wanne mnacheza, ni racing ila sio magari bali mnatumia vyombo vya kwenye maji, sema ile feeling ni kama unaendesha magari maana maji yenyewe yapo eneo kama barabaraNataka inayotumia hotspots sio data..
Kwa anaejua wakuu
mkuu si lazima simu 3 hata 2 unaweza kuunganisha kupitia hotspot na mkacheza dream league Soccer.Dream league soccer. Ila mtahitaji simu ya tatu. Au device yeyote yenye hotspot. Data hamtotumia. Muhimu wachezaji wote muwe mmeunganishwa na network moja.
Wewe ushawahi kuunganisha kwa simu mbili?mkuu si lazima simu 3 hata 2 unaweza kuunganisha kupitia hotspot na mkacheza dream league Soccer.
Sana ndio nafanyaga kila siku tena inatulia sio mchezoWewe ushawahi kuunganisha kwa simu mbili?
ok, nitajaribu me ilikuwa inagoma.Sana ndio nafanyaga kila siku tena inatulia sio mchezo