Game gani nzuri ambayo tunaweza kucheza wawili offline

Dream league soccer. Ila mtahitaji simu ya tatu. Au device yeyote yenye hotspot. Data hamtotumia. Muhimu wachezaji wote muwe mmeunganishwa na network moja.
 
Dream league soccer. Ila mtahitaji simu ya tatu. Au device yeyote yenye hotspot. Data hamtotumia. Muhimu wachezaji wote muwe mmeunganishwa na network moja.
hii naifaham, nilikua naulizia racing game inayoweza kutumia mfumo kama huu
 
Offline halafu hotspot? Nimekanganyikiwa
ndio yani mfano kwa dream league soccer, mnakua watu watatu alafu mmoja ambae hana bando anawawashia hotspot mnashare nyie wawili mnaocheza..
Haihitaji data on only hotspot tu
 
Nataka inayotumia hotspots sio data..

Kwa anaejua wakuu
riptide gt mpaka watu wanne mnacheza, ni racing ila sio magari bali mnatumia vyombo vya kwenye maji, sema ile feeling ni kama unaendesha magari maana maji yenyewe yapo eneo kama barabara

maxresdefault.jpg
 
Dream league soccer. Ila mtahitaji simu ya tatu. Au device yeyote yenye hotspot. Data hamtotumia. Muhimu wachezaji wote muwe mmeunganishwa na network moja.
mkuu si lazima simu 3 hata 2 unaweza kuunganisha kupitia hotspot na mkacheza dream league Soccer.
 
Back
Top Bottom