Zumo level ya mwisho kabisa nimeramba kisahani.8 ball pool level 45.
duuuh uko mbali mi niko 760Candcrush level ya 2400
Utanikimbia weweMkuu niadd nikufunge kiuhakika mi level 59 kaka yako
Mimi niliyonayo hawakurudishi nyuma bali kila unapokwenda mbele utakunana na vigingi vizito lakni vyote nilipita fresh tu.Zumo bhana kuna original version yake?maana naona kila unaposhinda wanakurudisha mwanzo
Mkuu niadd nikufunge kiuhakika mi level 59 kaka yako
Nikiboreka kwenye foleni hili game lanipa kampani View attachment 1233443
Temple Run 1 hiyo kakaMkuu inaitwaje hii,ila kama inafanana na cash candy saga na subway surfer sitaki aisee