Game 2 points 4 wamebeba marefa

Kwanza kiri kama penat ya mbeya city ilikuwa halali maana mlikuwa mnabisha, isije ukawa unataka kuhalalisha kosa la refa huyu lifanyike na refa mwingine.
Penalty ya Mbeya City ilikuwa halali 100%, note: Yanga nao walipata penalty kwenye game ile Vs Mbeya City ila refa Kama kawa hakuiona
 
Mpira haupo hvyo
Embu nambie bwashee,dk za majeruhi Fei toto yeye na kipa kulikua na sababu gani ya kutoa pasi kumpambanisha mwenzie,wakati alikua anauwezo wa kufunga yeye mwenyewe?
Ile nafasi mtu kama Medie Kagere wallahi anakuumiza.
 
Shame
Shame
Shame

Makosa ya kibinadamu yanatokea kwa kuwaminya Yanga SC tu?, Inasikitisha sana wananchi tumeamua kusahau yaliyotokea Mbeya ili leo makosa yale yale tena mawili yajirudie.

Faulo aliochezewa Farid kipindi Cha KWANZA ilikuwa CLEAR penalty ila Hawa Wanadamu wanaoongoza kwa kukosea kwa manufaa yao binafsi hawakuona, Kipindi Cha pili mchezaji kashika CLEAR kabsa nayo kwa kuwa wao wameombewa kukosea Basi hawajaona wamekosea Tena kibaya zaidi ile incident inafanana kabsa na ile ya Mustafa Mbeya, nasema Hawa washakuwa Kama TRA ubungo bila kutoa hela upati kitu, wamekuwa Kama tanesco chanika bila kuwa hela umeme hupati, wanatumika sana.

Wananchi wenzangu tujipange hizi games zinachezwa nje ya uwanja kwa zaidi ya 75%
Nadhani sasa Kileleni Joto Linaongezeka kwa kasi ya 5G++.......
 
Penalty ya Mbeya City ilikuwa halali 100%, note: Yanga nao walipata penalty kwenye game ile Vs Mbeya City ila refa Kama kawa hakuiona
Ok tuseme yanga kanyimwa hizo penat ilichopelekea kunyimwa ushindi ila tukifuatilia michezo yote iliochezwa yanga imevuna points nyingi tu za kubebwa.
Nakukumbusha, dhidi ya gwambina goli halali la ushindi la gwambina lilikataliwa na hivyo mkakwepa kipigo, dhidi ya simba mlipewa penat kwa faulo nje ya 18 , dhidi ya Kmc mlipewa penat isiyo halali hivyo mkapata ushindi n.k

Kwa hiyo ni ujinga kusema 75% ya ushindi unapatikana nje ya uwanja wakati mna matukio mengi tu ya kubebwa na kipindi mnafaidika mlipiga kimya. Au nyinyi tu ndio wenye uhalali wa kufaidika na maamuzi mabovu ya marefa?
 
Kule kaitaba mwamnyeto alishika wazi kabisa refa alikauka kimya na palikua kimya saaaaaafi zamu yao sasa balaaa tupu mungu fundi malipo ni ------
 
Kule kaitaba mwamnyeto alishika wazi kabisa refa alikauka kimya na palikua kimya saaaaaafi zamu yao sasa balaaa tupu mungu fundi malipo ni ------
Wanashangaza kweli, wakifaidika na maamuzi mabovu ya marefa wanapiga kimya, wasipofaidika wanashupaza mishipa bingwa kaandaliwa.
 
Sasa Ile ya Mbeya ambayo Mustafa alishika sio penat ile? Tatizo mnaaminishwa ujinga,unafanyika usajili wa kijinga wa kina coutinyo na sarpong mnaandamana mabarabarani halaf uwanjani hawafanyi kitu. Utopolo bana... Tunabeba hili kombe back to back miaka kumi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom