Game 1 of 2008 NBA Finals

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,916
287,620
Sina pressure ya kuangalia hizi finals, maana yeyote atakayeshinda mimi poa tu, lakini haitakuwa vibaya Garnet, Pierce na Allen ambao hawajawahi kuwa mabingwa wa NBA ukilinganisha na Kobe nao wakabahatika angalau mara moja kutwaa ubingwa wa NBA.
 

mwanakwetu

Member
Mar 30, 2008
89
14
Haya wadau habari ndio hiyo! Boston- 98 Lakers -88 end of game 1. Lets sit back relax and wait 4 the next game on sunday. But all in all Boston has the game.
 

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,354
184
boston ni nomaa leo hadi watu wakapiga na tizi uwanjani kumake sure mguu walioumia wapona...really love dat kind of team spirit!!!
anyways as i tabirigi before hawa wawili watafika fainali lakini pia natabiri wanaweza kwenda game 7 cz they both hav got game..n lakers hawatakubali kuluz kijinga game zikienda stapples center....so labda boston watumie advantage hiyo kuwa game 7 itakua kwao washinde..
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,916
287,620
Haya game 3 ndiyo hiyo tena dakika chache zijazo. Je, Kobe ataweza kuutwaa ubingwa bila Shaquille? Hili ndio litakuwa gumzo kama Lakers watashindwa kuutwaa ubingwa kwamba pamoja na kuwa Kobe ni mzuri lakini hawezi kutwaa ubingwa bila Shaquille na hivyo itabidi atafutiwe "Shaquille" mwingine ili aweze kufanya hivyo.
 

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,830
10,029
Afadhali Lakers wamerudisha matumaini
Boston wanaongoza 2-1
 

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,354
184
i tabirid it since mwanzoni, timu zitawin match za uwanjani mwao,so at the end celtics watawin kwa vile game 7 ni kwao!!
 

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,215
1,654
Bado vijisaa vichache game 4 ianze.LA sijui watamuachia tena Boston kwao? binafsi napenda LA walizwe tatizo huyu Kobe hatabiriki hazuiliki.Ngoja tuone
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,916
287,620
That was one of the best game in NBA finals' history. After leading by 24 points I thought that game four was over. I hope they will be able to finish the job on father's day. It is official, Kobe needs Shaquille in order to win another NBA Championship...:)
 

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,830
10,029
Lakers are back now its 3-2
Will then bounce back and win it
 

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,354
184
loh wamebahatisha kwa kweli...celtics jus nid one game washow their kipaji n dat wil b it..
 

Jobo

JF-Expert Member
May 15, 2008
586
42
Let me hope Lakers will raise to the occasion and win it this year. It has been a while since they won the cup and that is not amusing for the West Coast and California. It is dissapointing that the Lakers allowed their big lead in game 4 slip away. Waache kumtegemea Bryant peke yake. Wengine nao wafanye kazi yao uwanjani!!!!
 

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,354
184
haya wale wapenzi wa kikapu ndio tungojee game ambayo yaweza kuwa ya mwisho kwa nba msimu huu....as boston wako kwao wakishinda hii basi tena kobe bryant walie tu...
 

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,215
1,654
Game ndii hiyo hapo robo ya 4 Boston 106-Lakers 72.......dakika bado 7 tu hamna upinzani Boston wanakuwa mabingwa leo
 

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,215
1,654
Kudadeli Lakers leo waanshindiliwa ile mbaya hakuna cha Kobe wala Gasol......Ray allen anawatundikwa three points tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom