Gamboshi story VS Coco (animation movie) kuna ukweli wowote?

Aug 28, 2017
67
125
Hi Guys,

Kwa wale wapenda movie za animation bas lazima utakuwa umeshaangalia movie inayoitwa COCO iliyotoka mwaka 2017.

Hapa Tanzania kuna kijiji kinachoitwa GAMBOSHI nimewahi kusikia story ya kijiji hiki inasemekana watu wanaokufa kimazingara ya kichawi huwa wanapelekwa huko. Huko kuna maisha yanaendelea kama sisi huku duniani. Kwa maana ya kwamba kuna Michezo, burudani, Siasa na biashara zinaendelea kila siku kama huku kwetu duniani..

Katika kuiangalia hii movie maudhui yake na nilichokisikia kuhusu Gamboshi kinanipa mawazo.

INAWEZEKANA KUWA UKIFA HAPA DUNIANI BAS HATA HUKO UENDAKO KUNA MAISHA KAMA UNAYOYAACHA HAPA DUNIANI...

Mpaka sasa najiuliza aliyetengeneza story ya movie ya COCO aliwaza nini au idea aliipata wapi..
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i_zebrain

Member
Jun 2, 2019
40
125
Coco ni bonge ya animation
In short kinacho ongelewa kule ni kuwa ukifanya mabaya duniani ukifa na huko uendako utakutwa na mabaya kama baba Mama coco ukikumbukwa kwa mazuri uliyofanya duniani na huko mambo yanakaa sawa👍
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
5,163
2,000
Hi Guys,

Kwa wale wapenda movie za animation bas lazima utakuwa umeshaangalia movie inayoitwa COCO iliyotoka mwaka 2017.

Hapa Tanzania kuna kijiji kinachoitwa GAMBOSHI nimewahi kusikia story ya kijiji hiki inasemekana watu wanaokufa kimazingara ya kichawi huwa wanapelekwa huko. Huko kuna maisha yanaendelea kama sisi huku duniani. Kwa maana ya kwamba kuna Michezo, burudani, Siasa na biashara zinaendelea kila siku kama huku kwetu duniani..

Katika kuiangalia hii movie maudhui yake na nilichokisikia kuhusu Gamboshi kinanipa mawazo.

INAWEZEKANA KUWA UKIFA HAPA DUNIANI BAS HATA HUKO UENDAKO KUNA MAISHA KAMA UNAYOYAACHA HAPA DUNIANI...

Mpaka sasa najiuliza aliyetengeneza story ya movie ya COCO aliwaza nini au idea aliipata wapi.. View attachment 1370820

Sent using Jamii Forums mobile app
Gamboshi zipo tena sio moja kanda ya ziwa zipo nyingi ila ile ya Bariadi ndio makao makuu. Yanayoendelea huko Mungu anajua na wala usiombe. Zipo kila mahali ila haziitwi gamboshi hata wilayani au kijijini kwako ipo au angalau kuna lango au pitio la kwenda huko. Huo ni utawala wa shetani.

Ni kweli kabisa kuna maisha baada ya haya na tena hayo ndio maisha haswa, hapa tunapita tuu. Kuwa makini manake wengi wanaishia kubaya mno huwezi amini!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom