Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

1622899742334.png
 
Ni sahihi alivyouliza lakini pia kama lengo ni kukuza na kuongeza vivutio vya utalii ni lazima tubuni vipya, kuboresha vilivyopo na kuvitangaza kama ilivyo kwa Burigi chato.
Sasa sijui kivip hapo JPM alikosea kama comment za wengi zilivyo. Chuki tu
Pori lenye wanyama asilia liko wilaya ya Biharamulo na linaitwa Burigi. Kwa kuwa Mwendazake alikuwa na Mambo ya kujipendela akiita Burigi -Chato.

Sawa JK angeita lile pori la hifadhi mbele ya Mdaula Mwidu- Chalinze wakati linaitwa Mwidu tu
 
Ile dawa mwendazake aliyowarogea vijana imexpire naona akili zinarudi siku hizi.
Gambo angetamka hayo enzi zile kesi ya uhujumu uchumi ingemhusu kupewa pesa awanunue wapinzani waunge juhudi kwenye mkutano wa jiwe arusha wakaingia mitini
 
Hii nchi tulipofikia inabidi tumkodi Obama aje awe rais wetu kwa muda,nchi kila mabadiliko ya rais inaanza upya ki fikra, mtazamo na miradi ya maendeleo! machinga wa mwanza mjini walioziba barabara na maduka makubwa ya walipa kodi watatokaje? ngoja tuone
Obama unayemzungumzia ni yupi aliyeiharibu Libya au?
 
GHARAMA ZA VIPIMO VYA CORONA VIPO JUU SANA. HUKU NI KUUMIZA WASAFIRI NA WATALII.
KENYA DOLA 30 TANZANIA DOLA 100, HUU NI ZAIDI YA UFISAFI WA OLE SABAYA. YAANI TUNATUMIA UGONJWA KAMA KITEGA UCHUMI.

SHAME ON YOU SERIKALI.
 
Gambo taratibu ndugu yangu unatingisha meza ambayo juu yake kuna "legasi"
 
Back
Top Bottom