Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

Hapa nemkumbuka sana bi.Kirembwe
Ile dawa mwendazake aliyowarogea vijana imexpire naona akili zinarudi siku hizi.
Gambo angetamka hayo enzi zile kesi ya uhujumu uchumi ingemhusu kupewa pesa awanunue wapinzani waunge juhudi kwenye mkutano wa jiwe arusha wakaingia mitini
 
Mimi naamini Magufuli alikuwa sahihi sana. Si tu kwa Burigi,viwanja vya ndege ama ndege zenyewe.

Mfano tu,tunao mlima Kilimanjaro,lakini kila siku tunaupigia promo ili watu wakaupande. Sererengeti bado tunapambana kutafuta watalii.

Ninachokiona sasa na udogo wa akili. Watu wanawaza leo tu. Burigi na Nyerere ni hifadhi mpya. Zinatakiwa kulelewa na kutunzwa ili zikue zifikie kama nyingine.
Sioni sababu za msingi kuanza kuibeza hii hifadhi eti kisa tu ipo Chato.

Mtu akipanda muembe leo,hategemei matunda kesho asbh. Ni lazima mtu awe mvumilivu na mwenye subra.
Tuitazame kesho zaidi.

Ishu ya ndege kadhalika,hatuwezi kuiona faida yake leo. Lazima itatuchukua muda kuiona faida. Magufuli alikuwa anafanya mambo kwa ajili ya kesho. Ni kuweka miundo mbinu sawa kwa ajili ya kufaidi kesho.

Nasikitika tu tuna vijana wavivu wa kusubiri. Wenye kuwaza kishabiki na kuona kwa jicho la kinafiki kila kilichofanyika. Mungu tu atusaidie.
 
Sahihi kwa mtazamo wako rais gani hafuati sheria na taratibu
 
Burigi-Chato imeanzishwa kisiasa tu, siyo hifadhi ambayo ipo kimkakati. Tanzania kwasasa ina hifadhi zinazokaribia 20, lakini katika hizo hifadhi zinazofanya vizuri ni chache na zote zipo kaskazini mwa Tanzania na katika hizo chache bado miundo mbinu ya utalii haijaimarishwa ipasavyo. Kama ilikuwa suala ni ku diversify shughuli za utalii zisiwe eneo moja. Kuna hifadhi kama Ruaha, Selous n.k ilifaa nguvu ielekezwe huko kwanza ili angalau kuleta balance ndy kisha waangalie uwezekano wa kufufua hifadhi zingine.
 
2015 tulifanya makosa makubwa. Tukubali makosa, tujisahihishe na tuweke mkakati wa kuzuia kufanya makosa tena.

Ikulu yetu sio sehemu sahihi kwa wagonjwa wa akili.
 
Back
Top Bottom