Gambo: Mtu akiwekwa ndani hata akishinda kesi cha moto anakuwa amekiona

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Hii ni kauli ya Gambo akiongea na wananchi wa mkoa wa Arusha kuhusiana na amri ya kumuweka mtu ndani kwa masaa 48.

Chanzo:ITV

My take:
In the Developed World, political ladder for politicians to move up is made up of patriotism, accountability and transparency, good governance, love of one's own country etc; whereas in the Developing World particularly Africa, such ladder is made up of military coup, rigging elections, imprisonment and torturing of opposition figures, humiliation of opposition figures, hatred etc-Tuna safari ndefu sana na tumeachwa mbali sana na wenzetu.

Hizi sheria ipo siku zitawageukia.
 
Kuna aliyewahi kudhani kuwa siku moja front liner Nape atatishiwa bastola hadharani??
Hawa madogo wanajisahau sana. Mwisho wao utakuja kuwa mbaya sana. Akina Diallo walikuwa untouchables lakini leo mambo yamechange. Kuna bwana Magessa Mulongo alikuwa shetani-mtu pale Arusha sio zamani sana, akichapa makofi watu Bar. Leo hii ni common man tu na unaweza hata wewe ukamchapa makofi
 
Kama Magesa amenyooka sembuse huyu dogo Gambo?
 
Haka nako ni kadikteta uchwara kanataka kukomoa watu ili wakione cha moto kwa kupindisha sheria za nchi.

Hii ni kauli ya Gambo akiongea na wananchi wa mkoa wa Arusha kuhusiana na amri ya kumuweka mtu ndani kwa masaa 48.

Chanzo:ITV

My take:

Ipo siku hizi sheria zitawageukia.
 
Hawa madogo wanajisahau sana. Mwisho wao utakuja kuwa mbaya sana. Akina Diallo walikuwa untouchables lakini leo mambo yamechange. Kuna bwana Magessa Mulongo alikuwa shetani-mtu pale Arusha sio zamani sana, akichapa makofi watu Bar. Leo hii ni common man tu na unaweza hata wewe ukamchapa makofi
hiyo ni kazi ya magufuli
 
Back
Top Bottom