Man from cuba
JF-Expert Member
- May 2, 2021
- 557
- 1,365
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchaguzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.
Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake ukimlinganisha na mbunge machachari aliyeporwa ushindi wake bwana Godbless Lema ametoa shutuma hizo mbele ya waziri mkuu Majaliwa huko Arusha.
NB CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa