Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia waliyokuwa nayo ni kujiudhuru tu ili aone kuwa umekataa kutii, lakini ilikuwa lazima ujiandae kwa mateso(visasi)kwani usingeachwa hivi hivi tu!!!ndio maana wengi wao sasa matendo hayo yanawatesa sana!!ila tulikuwa ktk N.KOREA ya Afrika, MUNGU FUNDI
Acha MUNGU aitwe MUNGU
 
Agiza kinywaji nakuja ku-clear bili
 
watu wanag'ang'ania kujiudhuru kama vile ni rahis kihivyo! kama vile hawana familia. kama vile unajihudhuru na kuhama nchi.
Inaweza kuwa njia ya kujimaliza hadi uhai wenyewe. njia waliochagua ya kuishi na adui ni bora na sahihi zaid ili umpige kichwa vizur au upate kuishi.
 
watu wanag'ang'ania kujihudhuru kama vile ni rahis kihivyo! kama vile hawana familia. kama vile unajihudhuru na kuhama nchi.

KUJIUDHURU sio KUJIHUDHURU
 
Wana leta siasa za wazungu, kwanza wao hawana njaa, na hata ukijiuruzu hakuna kisasi!!sasa hapa ujiudhuru upate sifa za kijinga, kesho yakukute ya kukukuta hawana msaada na wewe!!
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Tunakoelekea huyu atahamia chadema ili ateme nyongo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Watajieleza wote maana hakuna jisi, watafichua mpaka siri za ndani
 
Tuna hasara sana,

Inasikitisha mno kwamba

Wanasiasa wengi wapo Kwa ajili ya maslahi Yao tu.

Yaani wanatukaanga sisi wananchi kama bisi.

Alimradi tu wapate kiki.
 
Back
Top Bottom