Gambo akabidhi fedha za rambirambi kwa wahanga wa ajali , asema mikono yake sasa ni safi

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
RC Arusha Mrisho Gambo, ametoa Sh23.2 milioni zigawanywe kwa wazazi wa watoto watatu waliokuwa wakitibiwa Marekani ambazo zilikusanywa kama rambirambi.

Mrisho Gambo ''Jambo hili la rambirambi nimelifunga rasmi na mikono yangu ni safi katika jambo hili, hata watu wasiponielewa Mungu anashuhudia'' Mrisho Gambo wakati akigawa shilingi milioni 23 za rambirambi kwa familia za majeruhi wa ajali ya LuckyVincent.

Mrisho Gambo pia alieleza namna alivyosikitishwa na shutuma zilizopikwa dhidi yake wakati wa msiba wa LuckyVincent ;

" Kama kiongozi kijana nilisikitika sana kuona namna watu walivyogeuza suala hili kua la kisiasa ili mradi tu wanichafue,nimetoa mfano wa kua muwazi katika kuweka uwazi wa mapato na matumizi katika michango hii " MrishoGambo


WhatsApp Image 2017-08-22 at 16.43.57.jpeg
WhatsApp Image 2017-08-22 at 16.43.58 (1).jpeg
WhatsApp Image 2017-08-22 at 16.43.58.jpeg
WhatsApp Image 2017-08-22 at 16.44.26.jpeg
 
Hizi hela zingepangiwa kazi zisizoeleweka bora Mama Samia aliingilia kati.Gambo huyu mtata mno.
 
Iyo ni part ya pesa alizokuwa amepiga kwenye zile rambi rambi,ameona aibu anajifanya katoa mfukoni mwake kumbe mpigaji tu uyo.Ndo maana Lema alimwita jina gani vile.....
 
Back
Top Bottom