Gambo afunga CCTV Camera ofisi ya Mbunge

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Kwa kuonyesha kuwa Gambo alipania nafasi ya ubunge jimbo la Arusha mjini, ameifanyia ukarabati wa nguvu ofisi hiyo pamoja na kuweka manukato yatakayokufanya utamani kulala hapo.

Pia amepiga rangi ofisi yote na kubandika kapeti lenya mng'ao wa marumaru ukutani, ameondoa vyoo vilivyotumiwa na watangulizi wenzake visije mwambukiza magonjwa ya UTI wakati wa kujisaidia, amefunga TV yanguvu na kamera za ulinzi CCTV Kamera.

Mbali ya hayo Gambo amefunga kiyoyozi cha nguvu kiasi kwamba ukiingia ndani unatoa majasho yako yote uliyoingia nayo na Kuekeza shida yako ukiwa umetulia.

Amesema amejipanga Kuwasikiliza wananchi wake siku ya jumatano na alhamis kila wiki

IMG-20201130-WA0074.jpg
 
Gambo bado mtoto anapenda sana mambo ya show Off.
kwenye ubunge wake watu Wa media watapata kazi sana.
 
Anataka aigeuze ofisi ya mbunge iwe kama ile ya Mkuu wa Mkoa Arusha ili isionekana kama ameshuka chini kimamlaka?
 
Back
Top Bottom