Kiukweli kabisa, komredi, nilimwamini huyu jamaa.Hivi Komredi we ulimwamini kweli jamaa alipokubali kushindwa?
Manake alikubali kirahisi rahisi mno hadi nikapatwa na shaka.
It was too good to be true!
Upinzani Tanzania acheni kutafuta mchawi. Yaani mlitegemea kabisa kuwa Lowasa atashinda uchaguzi? Msimamisheni tena 2020.Tatizo liko wapi Africa jamani ?!
Mbona imekuwa kasumba ?! Ni vizuri pesa za nchi zisitumike kuhalalisha aibu hizi.
Lakini tatizo kubwa ni katiba zetu.
Nafsi imemsuta kama Profesa macho Kodo.
mkuu umechanganya madesa, yule ni wa GhanaHuyu si alimpigia Simu mpinzani wake kumpongeza na kukubali kushindwa??
Kweli hili ndilo Bara la Afrika.
Mbona hakuna taarifa kuna picha tu??? Mmewekewa picha na heading naona story mnatengeneza wenyewe!!!
Magonjwa mtambuka mnashabikia nini na Lowassa kaingiaje humu brother ?!. Pro utawala mbashabikia haramu kwa mini siku hizi ??!!.Upinzani Tanzania acheni kutafuta mchawi. Yaani mlitegemea kabisa kuwa Lowasa atashinda uchaguzi? Msimamisheni tena 2020.