Gambia: Rais Yahya Jammeh akataa matokeo yaliyompa ushindi Barrow


Mkiliman

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
962
Likes
72
Points
45
Mkiliman

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
962 72 45
Akiongea kupitia runinga ya taifa, Rais Jammeh ametangaza kutoyakubali matokeo ya uchaguzi ikiwa ni siku chache tangu ampigie simu na kumpongeza Adam Barrow kuwa ndie mshindi na kuahidi kumpa ushirikiano wote unaostahili.

Yahya Jammeh ambaye aliingia madarakani kwa njia ya mapinduzi mwaka 1994, alishindwa na mpinzani ambaye alipata zaidi ya asilimia 45.

Marekani imetangaza kupinga vikali kauli ya Yahya Jammeh.

=======================

Speaking on state TV, Mr Jammeh cited "abnormalities" in the vote and called for fresh elections.

Mr Jammeh, who came to power in a coup in 1994, suffered a shock defeat to Adama Barrow, who won more than 45% of the vote.

The US "strongly condemned" Mr Jammeh's statement.

"This action is a reprehensible and unacceptable breach of faith with the people of The Gambia and an egregious attempt to undermine a credible election process and remain in power illegitimately," said state department spokesman Mark Toner.

Mr Barrow, a property developer, is due to take office in late January. Mai Ahmad Fatty, the head of his transition team, told Reuters they were "consulting on what to do", adding: "As far as we are concerned, the people have voted. We will maintain peace and stability and not let anyone provoke us into violence."

The Gambia is the smallest country on mainland Africa, with a population of fewer than two million.


Gambia leader Yahya Jammeh rejects election result - BBC News
 
Mkiliman

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
962
Likes
72
Points
45
Mkiliman

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
962 72 45
Afrika vituko haviishi na walioko madarakani hawataki kushindwa.
Huyu Bw. Jammeh anafanya watu waonekane wajinga, alikubali kushindwa lakini, ghafla, anakataa ushindi wa mwenzake.

Afrika tunayo matatizo makubwa, halafu, nchi yenyewe watu ni wachache sana.
 
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
3,916
Likes
2,947
Points
280
Age
32
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
3,916 2,947 280
Huyu Bw. Jammeh anafanya watu waonekane wajinga, alikubali kushindwa lakini, ghafla, anakataa ushindi wa mwenzake.

Afrika tunayo matatizo makubwa, halafu, nchi yenyewe watu ni wachache sana.
Ndio maana wengine wanaona tunahitaji kutawaliwa tena.
 
Khakha

Khakha

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
2,989
Likes
383
Points
180
Khakha

Khakha

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
2,989 383 180
Huyu Jammeh a nataka kuleta civil war nchini mwake sababu ya uroho wa madaraka. Amuulize Laurent Bagbo yuko wapi sasa?
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
2,936
Likes
4,928
Points
280
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
2,936 4,928 280
Unajua pupa waliofanya wapinzani ni kumtisha bwana jammeh kama watamshitaki hawakusoma alama za nyakati hayo mambo hayakutaka haraka maana jammeh jeshi lote linamuunga mkono yy maana alishakubali matokeo ilikuwa ni njia rahisi lkn wameyataka wenyewe kuleta taharuki
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
2,936
Likes
4,928
Points
280
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
2,936 4,928 280
The Gambia's new rulers vow to prosecute outgoing president
Yahya Jammeh has ‘bunkers and treasure’ at his farm near Senegal border and could start rebel movement, claims coalition

The autocratic ruler of the Gambia will be prosecuted for his crimes within a year of handing over the reins of government in January, the chair of the country’s new ruling coalition has vowed.

Yahya Jammeh, whose defeat in last Thursday’s election marks the first democratic transition of power in the tiny west African nation, is being prevented from leaving the country in case he starts a rebel movement, according to Fatoumata Jallow-Tambajang, the architect of the coalition and a senior politician considered the mother of the nation.

In an extraordinary speech on Friday, Jammeh said he wanted to return to his farm to “eat what I grow and grow what I eat” – his favourite political slogan. But Jallow-Tambajang claimed that on this farm, in Kanilai, close to the Senegalese border, he had the “bunkers and treasure” to start an insurgency and the coalition feared he could move weapons out of the country.

“He can’t leave. If he leaves, he’s going to escape us,” she said. “We are stopping him from leaving. We are negotiating. He said he wants to go to Kanilai. Any day he tells us he wants to go abroad, then we say no. It’s the presidential prerogative.”

She said the government wanted him prosecuted quickly in case he tried to flee – although it had not yet decided whether to try him in the Gambia or internationally. The government also planned to rejoin the international criminal court – Jammeh withdrew the Gambia from it, so the president who once vowed to bury opposition figures “nine feet deep” could find himself at The Hague.

Prosecution would not be immediate, first, things in the Gambia had to calm down, Jallow-Tambajang said, sitting outside the court where 19 political prisoners were freed on bail on Monday.

“Even if it [the constitution] said that he was to be prosecuted immediately, our government will not do so because of the volatility of the environment. The environment is complex – you see them?” she said, pointing at a large lorry full of soldiers speeding down the road past the court.

There was no question of immunity, however. “He will be prosecuted. I’m saying a year but it could be less than that,” Jallow-Tambajang said. “This is my personal opinion – it might have taken three months because we really want to really work fast.

“We don’t trust him. The longer we leave him, the more possibilities he has to leave the country, to escape from the country and to even do an insurgency. He is capable. The man is capable. In Kanilai, he has bunkers. I have reliable sources that [say that] he has bunkers. I have been reliably informed that he has treasure in Kanilai, he’s sitting on treasure, on gold as they say.”

She said that although Jammeh insisted he wanted to stay on his farm, the new coalition – led by Adama Barrow, a former estate agent who once worked at an Argos in London – suspected him of wanting to move all the weaponry and soldiers he had there over the border to Casamance, in the south of Senegal.


Source The Guardian
 
ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2015
Messages
2,078
Likes
1,521
Points
280
ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2015
2,078 1,521 280
Unajua pupa waliofanya wapinzani ni kumtisha bwana jammeh kama watamshitaki hawakusoma alama za nyakati hayo mambo hayakutaka haraka maana jammeh jeshi lote linamuunga mkono yy maana alishakubali matokeo ilikuwa ni njia rahisi lkn wameyataka wenyewe kuleta taharuki
Na mimi hilo ndilo nililolifikiria tokea mwanzo!
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,399
Likes
50,141
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,399 50,141 280

Unajua niliposikia kuwa eti huyo rais wa Gambia kakubali kushindwa kwenye uchaguzi wao mkuu uliofanyika mwanzoni mwa mwezi huu na kwamba kampigia simu mpinzani wake na kumpongeza nilishangaa sana.

Hadi nikasema hilo jambo la yeye [Jammeh] kukubali kushindwa kirahisi namna hiyo linastahili kuongezwa kwenye yale maajabu ya dunia.

Lakini kwa vile yeye mwenyewe huyo rais alikubali kushindwa kwa maneno yake mwenyewe sikuwa na jinsi zaidi ya kukubali tu kile nilichokiona na kukisikia toka mdomoni mwake.

Ila kimoyo moyo sikuwa na imani naye kivile. Nilihisi baadaye anaweza akaja kugeuka na kukataa kushindwa.

Leo/ jana [tarehe 9] hisia zangu zimetimia. Jamaa kabadili uamuzi na sasa hayataki tena hayo matokeo na anataka uchaguzi ufanyike tena.

Gambian leader Yahya Jammeh has rejected the result of the presidential election held earlier this month, a week after admitting defeat.

Speaking on state TV, Mr Jammeh cited "abnormalities" in the vote and called for fresh elections.

Mr Jammeh, who came to power in a coup in 1994, suffered a shock defeat to Adama Barrow, who won more than 45% of the vote.

The US "strongly condemned" Mr Jammeh's statement.

"This action is a reprehensible and unacceptable breach of faith with the people of The Gambia and an egregious attempt to undermine a credible election process and remain in power illegitimately," said state department spokesman Mark Toner.

Mr Barrow, a property developer, is due to take office in late January. Mai Ahmad Fatty, the head of his transition team, told Reuters they were "consulting on what to do", adding: "As far as we are concerned, the people have voted. We will maintain peace and stability and not let anyone provoke us into violence."

The Gambia is the smallest country on mainland Africa, with a population of fewer than two million.
Gambia leader Yahya Jammeh rejects election result - BBC News
 
ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2015
Messages
2,078
Likes
1,521
Points
280
ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2015
2,078 1,521 280
Ni habari njema kwa CUF kuhusu suala la Zanzibar! Hili suala la Gambia litasababisha hizi kesi zichukuliwe hatua ya aina moja. Alichofanya Jammeh hakuna tofauti na alichofanya Jecha!

Taasisi za kimataifa zinazohusika wameshindwa kuwa serious kutatua suala la Zanzibar na sasa nchi zote wameona udhaifu wao, Jecha is every where now!
 
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
21,527
Likes
16,519
Points
280
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
21,527 16,519 280
Uafrika ni zaidi ya uujuavyo.jammeh uzalendo umemshinda,kaamua aonyesha rangi halisi ya uafrika wake.

tujiandae kusikia kauli za kinafiki toka kwa baadhi ya marais wa nchi za kiafrika waliompongeza mpinzani aliyeshinda.

usishangae wakianza kutoa kauli za kuunga mkono uamuzi wa jammeh.hii ndio afrika.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
84,104
Likes
126,709
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
84,104 126,709 280
Naona kule Ghana hali ni tofauti aliyekuwa Rais kakubali kwamba ameshindwa kwenye uchaguzi.
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
90,349
Likes
442,169
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
90,349 442,169 280
Huyu si juzi juzi hapa mlikuwa mkimsifia humu JF kuwa ni mfano wa kuigwa barani Afrika. Amepiga gia ya angani ama?

Demokrasia Afrika bado sana. Hata hao wanaotulazimisha hii demokrasia huko kwao pia bado inawasumbua sembuse demokrasia yenyewe hii tumeletewa tu hata bila kuielewa sawasawa? Kila baada ya miaka mitano tunapiga kura na hakuna kinachobadilika miaka nenda miaka rudi. Demokrasia my foot!
 
jimmyfoxxgongo

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Messages
4,538
Likes
7,152
Points
280
Age
27
jimmyfoxxgongo

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2013
4,538 7,152 280
Africa sijui kuna nini duu hii ni laana sio kawaida something must wrong na nature yetu aisee
 

Forum statistics

Threads 1,274,693
Members 490,736
Posts 30,521,144