Gambia: Amadou Sanneh, Baada ya kuachiwa kutoka gerezani ateuliwa kuwa waziri wa fedha

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Aliyekuwa mfungwa wa kisiasa nchini Gambia Ndg.Amadou Sanneh, mwenye umri wa miaka 72 ameteuliwa kuwa Waziri wa fedha, ikiwa ni siku 3 tu baada ya kuachiliwa huru na Rais Adama Barrow.
16388362_1274511972640492_7078838207713002161_n.jpg

Amadou aliwekwa gerezani na Rais Yahya Jammeh kutokana na kushiriki maandamano ya kupinga utawala wake mwaka 2013. Tangu mwaka 1994 Rais Jameh aliposhika madaraka, Amadou amekuwa mfungwa maarufu wa kisiasa kwa kukamatwa, kuwekwa jela, na kuachiwa.

Amadou na viongozi wenzake watano wa chama cha UDC walikamatwa mara ya mwisho mwaka 2013 ambapo walitupwa gerezani kwa amri ya Rais Jameh na kuamuru kutumikia kifungo cha maisha. Licha ya mashirika ya kutetea haki za binadamu kama Amnesty International kutaka waachiwe, lakini Rais Jameh aliendelea kushikilia msimamo wake wa kutowaachia.

Amadou ni msomi wa masuala ya fedha mwenye shahada ya Uhasibu na Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa biashara (MBA). Ameshika nafasi mbalimbali za kisiasa ikiwemo kuwa mweka hazina wa chama cha upinzani cha UDP kabla ya kuswekwa gerezani mwaka 2013.

Amadou aliachiwa huru jumatatu January 30 mwaka huu, na siku 3 baadae ameteuliwa kuwa Waziri wa fedha wa nchi hiyo. Shirika la habari la ABC limeripoti habari ya kuachiwa Amadou na kuteuliwa kuwa Waziri kama mafanikio makubwa ya demokrasia kupitia taarifa yenye kichwa "From Jail to Cabinet Minister; Gambia's New Government Forms"

Nini maoni yako??

=====

Gambia: Breaking News: Ousainou Darboe Appointed Minister Of Foreign Affairs; UDP’S Amadou Sanneh Finance; Mai Fatty, Interior; Isatou Trade!
Darboe-VP.jpg

A leaked cabinet pick info has revealed that the leader of Gambia’s main opposition United Democratic Party (UDP’) Ousainou Darboe, has been appointed Minister of Foreign Affairs. Mr. Darboe, who has a pending criminal case before the..
A leaked cabinet pick info has revealed that the leader of Gambia’s main opposition United Democratic Party (UDP’) Ousainou Darboe, has been appointed Minister of Foreign Affairs. Mr. Darboe, who has a pending criminal case before the High Court, is president Adama Barrow’s Foreign Affairs Minister. Mr. Darboe’s appointment is going to be made public latest on Tuesday, according to sources familiar with the story.

President Barrow, has the prerogative to pardon Darboe, and all the felons lined up to be hired in his new government. But legally, such pardoning can only take place if a request is made through the superior court for the trail of Darboe and co to be discontinued.

Also appointed is Amadou Sanneh, the jailed former UDP National Treasurer. Mr. Sanneh, who is yet to be released from prison custody, has been named as president Barrow’s Finance and Economic Affairs pick. Sanneh, too had a criminal conviction on his belt. He is due to be officially pardoned by the new president.

The Gambia Moral Party Leader Mai Fatty, has been appointed Interior Minister. Mr. Fatty, has been tasked to be in charge of the country’s internal security.



Gender Activist Isatou Jarra Touray, has been named as president Barrow’s Trade Minister.

Henry Gomez, is the new Youths and sports Minister.

Hamat Bah, of the opposing NRP is the new Minister of Tourism.

Omar Amadou Jallow, of the PPP, is the new Minister of Agriculture.

Ba Tambadou, a former UN International Court prosecutor, and Human Rights lawyer has been appointed Attorney General and Minister of Justice.
Aliyekuwa mfungwa ndio waziri wa fedha Gambia - BBC Swahili
Gambia: Breaking News: Ousainou Darboe Appointed Minister Of Foreign Affairs; UDP’S Amadou Sanneh Finance; Mai Fatty, Interior; Isatou Trade! – Freedom Newspaper
 
Ni jambo jema,uongozi ni kutumikia wananchi hakuna mwenye hati miliki YA nchi hivyo kua kiongoz ni kuangalia kwanza interest za nchi na kuwatumikia wanchi,haitakiwi kuweka visasi na personal issues
 
Adama Barrow Maisha aliyoishi hasa akiwa mlinzi huku akiendelea na masomo kuna kitu alijifunza ,na katika dunia hii hakuna kitu kizuri ambacho kitakupa heshima kama kuwathamini binadamu wenzako.
 
Rais wa Gambia Adama Barrow amemteua Amadou Sanneh , Aliyefungwa na Utawala wa Dikteta Yahya Jammeh kuwa waziri wa fedha .

Mytake - Malipo ni hapa hapa duniani .
Rais wa Gambia Adama Barrow amemteua Amadou Sanneh , Aliyefungwa na Utawala wa Dikteta Yahya Jammeh kuwa waziri wa fedha .

Mytake - Malipo ni hapa hapa duniani .
Hujakosea Mkuu.. Malipo ni hapahapa Duniani.
 
Huyu wazir after sometime mtasikia na yeye anautaka urais hii ndio africa bwana
 
Huyo waziri mbona hajapewa ubunge kwanzaaa wa kuteuliwaa na pia vipi wanatoka cha kimoja na rais
 
Back
Top Bottom