Gamba ni gamba kulivua ni ishu

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
lowassa.jpg teh teh teeeh




GAMBA+%281%29.jpg limenasa hapo
 
Hakuna alie msafi ndani ya CCM hata anae zaliwa ni mchafu...Nape alisomeshwa ka pesa ya ufisadi...
 
Lowassa has become a source of materials & an easy prey for cartoonists, comedians, pundits, etc. Bora tu angeachana na siasa atunze heshima yake.
 
hahahahaaa umenuikumbusha mbali sana Mpwa n imecheka hadi basi ilishawekwa longtime sana hapa jukwaani hii, ila haicchuji kila siku inaonekana brand new kama gamba lenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom