KIPUMPUSWA Senior Member Jul 16, 2011 106 35 Oct 9, 2011 #1 Alishawahi kuonja siasa za maji taka a.k.a siasa uchwara. ila ni gamba linalojua kuupimia upepo unakoelekea. Attachments 11__Guninita_akimpingeza_Dk__Kafumu.jpg 34.8 KB · Views: 112
Alishawahi kuonja siasa za maji taka a.k.a siasa uchwara. ila ni gamba linalojua kuupimia upepo unakoelekea.
Anko Sam JF-Expert Member Jun 30, 2010 3,200 820 Oct 9, 2011 #2 KIPUMPUSWA said: Alishawahi kuonja siasa za maji taka a.k.a siasa uchwara. ila ni gamba linalojua kuupimia upepo unakoelekea. Click to expand... Baada ya miaka 4 Kafumuliwa atakuwa na gamba kama hilo la Guninita au Komba ama Masaburi!
KIPUMPUSWA said: Alishawahi kuonja siasa za maji taka a.k.a siasa uchwara. ila ni gamba linalojua kuupimia upepo unakoelekea. Click to expand... Baada ya miaka 4 Kafumuliwa atakuwa na gamba kama hilo la Guninita au Komba ama Masaburi!
chapaa JF-Expert Member Feb 19, 2008 2,351 203 Oct 9, 2011 #3 Mafioso roho mbaya majizi ya pesa za umma hata kwetu yapo
L Lsk Senior Member Oct 10, 2011 178 26 Oct 10, 2011 #7 ...hapo ni gamba plus gamba,yote mawili ni magamba!!
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Oct 10, 2011 #8 hawa wezi hata kule kwetu wapo
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,288 Oct 11, 2011 #9 hawa madingi wawili ndo wanawafunza hawa vijana wawili wakikua kufikia umri wa hawa madingi watakuwa mafisadi mara mbili yao ha
hawa madingi wawili ndo wanawafunza hawa vijana wawili wakikua kufikia umri wa hawa madingi watakuwa mafisadi mara mbili yao ha