Gamba la Rostam kuota! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gamba la Rostam kuota!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JACADUOGO2., Jul 19, 2011.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hatimaye la Rostam Aziz alilovua kuota tena kwa mara nyingine!
  Hii ni kutokana na sababu kuwa tangia jamaa ajivue gamba mpaka leo hajapeleka barua ya kujivua gamba mahali popote panapohusiku.
  Je, hii inamaanisha kuwa gamba linaota tena au vp?
  Source: mawazo yangu kama mtanzania!
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe umejuaje kama hajapeleka?
   
Loading...