Galaxy tab 3 for sale

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
675
49
nauza galaxy tab 3 full box na ni brand new....
price: Tsh 700,000
internal 8gb ,no sim card.
other specs try to google galaxy tab 3.
FOR SERIOUS BUYER..PLZ CALL..0767879784
 
samahani nasikia uvivu kugoogle inauwezo wa kupokea simu kupiga na msgs?
 
Yah but through wireless utatumia various messenger such as skype viber na zngne.
 
Kama ni Tab halafu haina 3G (nikimaanisha haina sehemu ya kuweka SIM CARD), hiyo inakuwa haina thamani. Sana sana labda iuzwe Tshs. 300,000 hivi kwa case ya Tab 3.
 
Hailip mkuu ongeza pesa....tab mpya ina kila kitu chake..ful box nakupa na warranty mwaka mzma..
 
Haya ipo tab 2 10.1 inches ..npe 700 nayo mupya n full box ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom