kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,327
- 521
Habari za leo wanajf!
Jana nimenunua s4 kwa mtu bado tu ina hali nzuri.
Nikaweka laini yangu kisha nika-restore ili nianze kutumia.
Nilipoingia playstore ikanielekeza apps za ku-update nikafanya hivyo kama inavyonielekeza. Lakini nikagundua tatizo la kila nikiweka kifurushi kinapitiliza(yaani kinaisha kabla ya kutumia).
Nika-uninstall baadhi ya apps kwa kubuni, lakini sasa naona tena iko sloo sana.
Naomba kwa wajuzi hii mambo nifanyeje ili nipate speed ya kawaida.
Asante nawasilisha!