Galaxy C5 imezima gafla

Ragnar Fluke

JF-Expert Member
May 22, 2012
374
115
Salamu wakuu...... Naombeni msaada simu yangu Samsung galaxy c5 imezima gafla...... Simu haikuwa na tatizo nmekuwa nkiitumia ila leo imejizima gafla......
 
Ukiwasha inafanyaje?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Jaribu kuiboost kwa kuichaji au jaribu kama unaweza kuazima betri nyingine ili uangalie kama tatizo linaweza kuwa ni betri.
 
Back
Top Bottom