Gairo: Wachimbaji wa dhahabu wanne wahofiwa kufa kwa kufukiwa na kifusi

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,743
4,270
Wachimbaji wadogo wanne wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi Cha mchanga wakati wakichimba madini katika Kijiji Cha Iyogwe, gairo

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji madini mkoa wa Morogoro, Dr. Omary Mzeru.

Taarifa zaidi zitafuata...
 
Back
Top Bottom