Huo ni mtazamo finyu!huyu Gado akikanyaga Tanzania akamatwe ni mchochezi
Mchukue ng'ombe mtiekwenye duka wanalouza vyombo vya kaure /vioo nini kutatokea akighasiwa au hata asipoghasiwa?Ana maana gani,nimeachwa Solemba. Any volunteer to interpret this Cartoon please...........
Anavuruga na kuvunja kila kitu mle dukani halafu anajeruhi au kuua muuzaji na wateja pia!Mchukue ng'ombe mtiekwenye duka wanalouza vyombo vya kaure /vioo nini kutatokea akighasiwa au hata asipoghasiwa?
Aah Okay Nimeelewa.AsanteMchukue ng'ombe mtiekwenye duka wanalouza vyombo vya kaure /vioo nini kutatokea akighasiwa au hata asipoghasiwa?