Ndo huyo Gado sasa, au kule DW hawana majina.Huyu aliye chora ni jamaa DW ya ujerumani
Anaitwa Godfrey Mwampembwa. Alimaliza form 6 PCM Azania 1990 na akina KaburuHuyu aliye chora ni jamaa DW ya ujerumani
Ni Mtanzania ila haishi Tanzania kwasasa.Labda jamaa awe anaishi nje ya Tanzania maana uchoraji wa hivi utaweza kumuweka mahala pabaya.