Gadhafi awakimbia waandishi wa habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gadhafi awakimbia waandishi wa habari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jogi, Mar 9, 2011.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Akiwa amewaahidi kukutana nao, alichoweza ni kufika hotelini walipo waandishi wa habari, kulikuwa na waandishi wa habari kama mia hivi, kuona hivyo akawaacha solemba bila kuongea nao hata neno moja, awali waandishi walimsubiri kwa uchache saa nane. Imeelezwa alichagua mwandishi kutoka uturuki na kufanya nae mahojiano nyuma ya pazia huku gari yake ikimsubiri, akawaondoka na kuwaduwaza waliosalia!!!!!

  Cource: cnn
   
 2. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Binafsi sishangai. He is a very upredictable fellow:A S 13:.
   
 3. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  hao wa uturuki kawaambia nini,au haijajulikana mkuu?
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mfamaji haachi kutapatapa
   
 5. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  aliahidi kukutana nao au kuzungumza nao?
  Msikurupuke
   
 6. B

  Bijou JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, mzee mzima kazidiwa huyo!!!!!!!!!!
   
 7. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Swali zuri sana hili, nimelipenda.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  CNN wanakurupuka?

  Unafikiri CNN ni sawa na TBC?
   
 9. c

  carefree JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Duh kama namuona anavyotoka nduki hotelini kwa hiyo akitembea kwa kunyata na msafara wake wote wananyata duh africa land noma
   
 10. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  akini ndugu zangu ni kweli tunataka Gaddafi aondoke?ishu ni kukaa madarakani muda mrefu au kuletea maendeleo wananchi, anayo yafanya nchini mwake siku ikifikia Tanzania hivyo tunaweza sema imekuwa nchi ya ahadi. Libya ni jangwa but kodi wanazotozwa wananchi ni sawa na hakuna, nyumba kwao ni bure na maslahi mazuri lakini huku kwenye rasilimali nyingi tunaendelea nkuteseka.

  Nadhani kuna ajenda ya siri ya mataifa yasiyomtaka ndio wapandikizi wa chuki zote hizo kwa wananchi wake ndio maana leo tunaona kuna makundi mawili mtaani yale yanayomuunga mkono na wale wano mpinga.

  Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
   
 11. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Pamoja na hayo maendeleo unapokuwa dikteta lazima siku moja itakurudia,hizo ni roho za aliowatoa uhai kwa kupingana nae..
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hv unajuwa mabomu ya Gongo la mboto CNN waliripoti kuna nini kinaendelea?
  Ukijuwa hilo ndio utaamini kuwa jamaa ni wakurupukaji kama wewe tu.
  So jibu swali, je Kanali aliwaambia wakutane au wazungumze?
   
 13. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Haya ndo aliyokuwa akiyahubiri Malcom X, a house negro and a field negro! usiuze uhuru wako kwa haki yako mwenyewe, ilikuwa ni wajibu wake Gadhafi kutenda yote hayo na zaidi ya hayo kwa wananchi wake, yeye amekwapua kiasi gani!? ...usihofu mkuu hata huyo atakaye kuja atajenga tu misikiti.
   
Loading...