mzalendo wa iran
Member
- Jun 20, 2016
- 97
- 104
Moja kwa moja niende kwenye mada askari wa ulinzi kampuni ya ulinzi Gardaword tunaomba huyu mwajiri wenuJoseph ( Joseph Goliama) awe na ubinadamu
Tangu ameingia kwenye kampuni anaendekeza rushwa na ubabe yaani huwezi kuwa na tatizo akakusikiliza mda wote ni ubabe kwa mfano hapo nyuma tulipewa fursaya mkopo bank ya Stanbic lkn bila kukupa chochote hakusainii fomu.
Pia Kuna baadhi ya watu walichelewa kujaza fomu za bima (NHIF) lakini hutaki kusaini wakati huo kampuni haichangii chochote kwenye hiyo bima lakini hutaki kusaini tunajuwa hata elimu yako ni ya kuunga Ila bosi akakupa ajira.
Kumbuka usisahau wenzio hao walinzi unaowadharau baadhi wanakuacha mbali na hiyo diploma yako jifunze kwa wenzio HR upande waKk hawana mambo ya kishamba Kama yako.
Nadhani Kuna wafanyakazi wenzangu watachangia humu wanao kufahamu.
Ni Mimi mlinzi wa zamu usiku.