Gadafi was aiming at islamizing all africans. That's what he made mistakes

Ujiulize suala moja tu. Jee Africa na Libya kwa sasa iko bora zaidi kwa vile Gadafi hayupo?

Hujui chochote na broken English yako hiyo! Inaonesha namna gani uko chini kimtazamo. Kama vile ulivoandika heading ya English.uliyokuwa huna hakika nayo kitafsiri, basi vilevile umekurupuka kuandika mada uliyokuwa hujafanyia utafiti. Unafikiria JF ni Groups za whatssapp.

Gadaffi aliuliwa na raisi wa Ufaransa wa wakati ule kwa sababu alitaka kutowa ushahidi dhidi ya.kesi iliyomkabili ya kupokea hongo kuendesha kampen ya uraisi. Hakuna chengine. Nyerere alikuwa hataki kuwaona hata Israil pia, sasa hivi tunao kila kona. Unajuaibisha kwa hoja zako za Std 2
Huyu jamaa kilaza
 
Alitaka kuiunganisha kwa kutumia uislam na yeye ndio awe raisi wake, kiufupi huyu alitaka kuanzisha Islamic State kwa Afrika nzima
Sio kweli na hata kama unataka kulazimisha hilo sio mbaya pia hata ulaya walimkataa uturuki kwa uislam
Siafiki hilo la Gaddafi kwani speech zake nyingi nimesikiliza na alikuwa na marafiki wengi wa magharibi na aliwekeza sana huku ulaya.

Nimeona Hotel yake iliyopo London na alikuwa na nyumba Hampstead heath na hela nyingi sana bank za ulaya.

Kwanini awekeze huku ulaya badala ya nchi za kiislam?
Unajua kuwa alijitoa katika umoja wa nchi za kiarabu na sababu zilizomtoa na kujiunga rasmi na jumuia ya Africa?
Na kuanza ziara rasmi katika nchi za Africa
Soma historia sana na utajua kuliko story za vijiweni

Leo kuna watu wanachagua upande mmoja tu je nao wanataka kufanya taifa la dini moja?
 
ndio mana misaada yake ilikua kujenga misikiti tu mfano msikiti wa gadafi pale dodoma
KWA AKILI ZAKO FINYU UNADHANI VIONGOZI WA TZ WALIMKARIBISHA GADAFI TZ KWA SABABU YA KUJENGA MISKITI ?? UPIMBI + CHUKI NI MBAYA SANA
 
Wewe utakuwa Mnyamwezi wala si bure. Kipindi hichi kifupi baada ya Gadafi washakufa watu wengi.kuliko miaka 42 ya Utawala wa Gadaffi..unataka ushahidi gani tena?
Haahahhhaaa mkuu nimecheka hivyo ulivyomjibu, huyu jamaa kilaza tena maandazi asaa.
 
Alikua anasaidia kujenga misikiti tu huyu na mambo yanahusiaba na hayo....et mtu anatoa msaada wa msikiti....ana akili kweli huyu....

Angekuwa anajenga viwanda au barabara kama misaada hapo sawa...

Gaddafi nae ni dikteta kama madikteta wengine na mwisho wao huwa ni kifo cha aibu..kama kilichompata......
Miaka 40 unatawala peke yao...
 
Sema maoni yako lakn usimwekee mtu maneno mdomoni, Gadafi Gadafi acha ushamba, alisaidia vita Uganda lakni haina maana alitaka TZ iwa Islamic state nyambafu
 
Back
Top Bottom