Gabriela Michetti Makamo wa Rais wa Argentina mwanamama shujaa wa maendeleo

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana Jf
Salaam
Makamo wa Rais wa Argentina mwanamama mwenye ulemavu wa miguu alikuwa anazungumza na kituo cha television cha Al jazeera kuelezea maendeleo kwa mchango wake nchini Argentina kuanza kazi mwaka 2015 akishirikiana na Rais Macri

Aidha, amesema ameweka mikakati ambayo imezaliza ajira nyingi kwa waargentina wengi, Wananchi wengi wamesema ameleta ubunifu mkubwa katika kuondoa Umasikini, kuwekeza kupata wataalamu wazawa na kuleta mbinu zilizozaa matunda kulinda na kuifuata katiba ya Argentina katika kutekeleza majukumu ya maendeleo, kuzalisha ajira kwa jinsia zote kutoa na kusimamia mikopo kwa jamii ili kupunguza umasikini ulikuwepo, kuvutia wawekezaji waliokwenda kuwekeza nchini Argentina kwa masharti ya kupunguza kodi kwa wawekezaji, na sera ya zalisha ajira kwa wazawa kwanza na kuboresha bidhaa za ndani, kuweka sera ya kulinda bidhaa za ndani property protectionism.

Chanzo: Al- Jazeera
 
Back
Top Bottom